The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kajamaa kanaandika kishabiki kuliko uhalisia,hapo kanajiona kama vile kanaishi Pentagon.Umekaa umejipinda na maelezo mengi na kujichekesha, haliyakua netanyahu hakujui, hakutambueni na upagani wenu, wala yesu hawamtambui, ila mpo tu kujaza server humu😁
Nimekwambia muulize mamako atakwambia kama mimi ni dogo au sio dogo,Dogo huna matusi mapya. Kama ulijifunza hii huko kwenu nadhani hawakukupa mafundisho sahihi.
We kwan unaishi wapi??Wewe nchi yako hata umeme wa uhakika hakuna,si ajabu hiyo comment umeiandika ukiwa gizani,na hapo Iran yupo kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa zaidi ya miaka 40
Unataka ujue anapoishi ili iweje?We kwan unaishi wapi??
Wewe nchi yako hata umeme wa uhakika hakuna,si ajabu hiyo comment umeiandika ukiwa gizani,na hapo Iran yupo kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa zaidi ya miaka 40
Itakua safi sana, makafiri watakipata wakitakacho mbele ya wanaume
Nimekuuliza wewe??Unataka ujue anapoishi ili iweje?
Kwa vile wewe umeolewa unafikiri wote ni mapunga kama wewe sio?Mwaka huu lazima uoelewe uarabuni
Naona Uko busy kutetea mabwana zako wa kiarabu.Kwa vile wewe umeolewa unafikiri wote ni mapunga kama wewe sio?
Nilisha kwambia kua usihangaike sana kunishobokea,mimi sichezei tope
Naona upo busy kunifuatilia kwenye kila uzi,endelea kunifuatilia tu ila acha kunishobokea,mimi sichezei tope,umesikia wewe punga?Naona Uko busy kutetea mabwana zako wa kiarabu.
Mishipa inakutoka.
Pole sana
Muivamie kwasababu Iran inainyima Israel kupumua kwa kujinafasiIran hii ambayo Jenerali wa jeshi anauliwa kama muuza pombe za kienyeji na nchi inaufyata?
Iran ivamiwe ina nini? Kwanini mnalazimisha ivamiwe, ili muendeleze lawama au sio. Fanya basi Iran ivamie Marekani
Israel hii ambayo ikijisikia inavamia Gaza, ikijisikia inashambulia Hezbollah, ikijisikia inashambulia Syria.Muivamie kwasababu Iran inainyima Israel kupumua kwa kujinafasi
Alafu Saddam Hussein akashinda kwa kishindo. Na Israel ikasambaratishwa kwa hizo Scuds mpaka leo ni magofu.Wewe jamaa unafaa kabisa kua commedian tu,umeandika kishabiki mpaka umepoteza uhalisia au thamani ya maelezo yako,
Unaongelea Scud za Saddam Hussein,hujui kua Scud za Saddam zilikua zinatua Tel Aviv na Patriot za US zilishingwa kuzuwia?
Kama ambavyo mataifa ya Kiarabu yaliungana kupigana ana Israel yakapigwa.Huyo US alienda kuvamia Iraq peke yake? unajua kua ni mataifa mangapi yaliungana dhidi ya Iraq? hata huyo Zionist wenu anasaidiwa na US na mataifa ya ulaya ila mpaka sasa kamasi zinamtoka bila kua na Flu,hakuna alicho achieve so far,Hamas bado wapo na mateka bado wanashikiliwa,
Makombora ya Hamas sijui ni mangapi, makombora ya Hezbollah sijui yameua wangapi ninachojua kutokana na taarifa ya Hezbollah wenyewe mpaka sasa Israel imeua wapiganaji wake 206 na hapo bado hawana official war.Makombora mangapi ya Hamas yametua Israel kwenye majengo? makombora mangapi ya Hizbullah yametua huko Israel? haya mahaba yenu hua yanawafanya mnatembea na vichwa vitupu?
Kumbe hua una upumbavu wa hali ya juu kiasi hiki!Alafu Saddam Hussein akashinda kwa kishindo. Na Israel ikasambaratishwa kwa hizo Scuds mpaka leo ni magofu.
Kama ambavyo mataifa ya Kiarabu yaliungana kupigana ana Israel yakapigwa.
Hamas wapo, ndio maana Israel bado inaendelea kufagia Gaza sasa hivi imebaki ushahidi kwamba kulikuwepo na mjiView attachment 2907960
Makombora ya Hamas sijui ni mangapi, makombora ya Hezbollah sijui yameua wangapi ninachojua kutokana na taarifa ya Hezbollah wenyewe mpaka sasa Israel imeua wapiganaji wake 206 na hapo bado hawana official war.
Kwahiyo anayepigwa ni nani sasa hivi mkuu, Israel ndio inapigwa na watu wake wamekuwa wakimbizi si ndio. Huku Gaza wakila tende na ngamia.
Dogo ni kama umepanic sana. Umepata chakula leo? Mi naona kama ni tatizo la malezi linakusumbua. Nimemuuliza Mama ameniambia wewe umeolewa mapema. Ila ni dogo sana. Umeolewa ukiwa na miaka 9 anasema. So amenipa majibu mujarabu. Naona umesisitiza sana nikaona niulize. Ndo akasema huyu ali break ice akiwa mdogo sana Aisha breaker. Mimi huku sasa ndo umenileta home. Nilitaka usigne mkataba tuanze kazi dogo.Nimekwambia muulize mamako atakwambia kama mimi ni dogo au sio dogo,
Sasa hivi ndio umejua kua hua kuna mafundisho sahihi sio? ulifikiri kuja na lugha zako za hovyo kwangu ningekuacha sio?
Mamako anajua kua wewe huna akili timamu,si unaona mpaka ukajiita kua wewe ni chizi, unaweza kumwambia babako siri zake,Dogo ni kama umepanic sana. Umepata chakula leo? Mi naona kama ni tatizo la malezi linakusumbua. Nimemuuliza Mama ameniambia wewe umeolewa mapema. Ila ni dogo sana. Umeolewa ukiwa na miaka 9 anasema. So amenipa majibu mujarabu. Naona umesisitiza sana nikaona niulize. Ndo akasema huyu ali break ice akiwa mdogo sana Aisha breaker. Mimi huku sasa ndo umenileta home. Nilitaka usigne mkataba tuanze kazi dogo.
Mkuu katika hoja za mleta mada mbona hakuna sehemu alipo sema kuwa Iran anaizidi Urusi kwa ubora wa ID? Au mm kuna sehemu nilipo sema kuwa Id za Iran ni bora kuliko za Urusi,mbona unapenda kuzua mambo ya uongo ili kutetea hoja zako?Hizo batteries chache ziliwahi fanya nini mbona Israel inapita anga la Syria kama uchochoro. Ina maana batteries chache hazilindi hata mji mkuu, Damascus?
Kama haziwezi linda airbase muhimu iliyopo mji mkuu zinalinda kitu gani au ziwa mojawapo uko vijijini.
Uturuki iligomewa na Marekani kuuziwa Patriot ndipo wakaamua kwenda kununua S-400. Hiyo ni second option, ni fungu la kukosa.
Bisha nikuletee kauli za Erdogan na Waziri wake wa UlinziView attachment 2907703Ni kama ambavyo Turkey walifikiria option nyingine baada ya kunyimwa F-35. Na ambavyo walikuwa wafikirie options nyingine kama Marekani isingekubali kuwauzia F-16 mwaka jana.
Then kelele za kusema Iran ina mifumo sawa na S-400 au S-300 zikome. Ni dharau kulinganisha mifumo ya Iran dhidi ya ya Urusi.
India ilinunua S-400 kutoka Urusi muda uleule inasaini na Israel kununua Barak AD. Ni mifumo tofauti kidogo hivyo sio ajabu kununuliwa kwa pamoja.
Kwa China ni case tofauti, China ilinunua S-300 ikafanya reverse engineering ikatoa HQ-9 series zinafanana mno. Ikaagiza S-400 sababu haina long range, sasa kwa case ya Iran mnasema Iran ina mifumo bora kuzidi ya Urusi sijui inalingana, hapohapo Iran inanunua mifumo ya category ileile Urusi?
Na bora kwa China kuna some cases copycats zake zinazidi uwezo original za Urusi. Kama HQ-17 inaizidi Tor-1 sababu ni two decades apart, ila ni copy.
Kwahiyo Iran ana mifumo ya anga inazidi ya Urusi, kwamba Urusi kuna siku ataenda Iran anunue hii mifumo mipya inayozidi ya kwake? Maana huu ndio ubishi wangu.
Marekani ana pact na Europeans, tena kama hao Israel huwa anatoa funds yeye na wataalamu wake baadhi kuunda hiyo mifumo. Then baadae anaweza nunua sababu amefanya investment. Tofauti na Iran na Urusi.
Mleba❌ Muleba✅
tsh❌ Tsh/TSH.✅
wakwambie huiunganishe❌
kuponda ,hivi❌ (mkato huwekwa baada ya neno, sio kabla ya neno)
waafirika❌ Waafrika✅
Lugha unayoshinda nayo kila siku huijui, sembuse mambo ya teknolojia.
Kwahiyo Iran ina AD systems nzuri kuliko Russia? Jibu
Anayenihudumia mimi ndo anayekuhudumia na wewe. Amenambia wewe ni kama ulianza kubakwa mapema sana miaka 9?imekuathiri kisaikolojia mzee alikuoa ukiwa mdogo sana... 🤣Mamako anajua kua wewe huna akili timamu,si unaona mpaka ukajiita kua wewe ni chizi, unaweza kumwambia babako siri zake,
Endelea tu kukaa hapo juu ya sofa na remote bila kujua nani anahudumia hapo.
Umeanza kutoa siri zako za kubakwa sio? Wewe endelea kula ugali wa shikamoo hapo kwa bimkubwa bila kujua nani anahudumia,Anayenihudumia mimi ndo anayekuhudumia na wewe. Amenambia wewe ni kama ulianza kubakwa mapema sana miaka 9?imekuathiri kisaikolojia mzee alikuoa ukiwa mdogo sana... 🤣