Yani unaamanisha kuwa Irani hana Ndege za kijeshi?Ulitaka watumie vitu wasivyokuwa navyo?
ushawahi jiuliza bila israel marekan inakuaje
Wazee wa kukariri, trump mwenyewe amekiri kushindwa kwa israel, wewe kama nani useme hayo! Huyu myahudi huyu sijui amewalisha lini.Hata wewe ukiwa huwezi ngumi utakumbilia kubeba mawe urushe ukiwa mbali huku unakimbia kujificha,ndio alichokifanya irani kurusha makombora akiwa mbali hakuthubutu kuingia Israel, hayo makombora kupenya ni kawaida ila nani aliathirika maana Israel alikuwa anarenga targets maalum na alifanikiwa,Israel anategemeana na marekani ila irani bila mchina na mrusi anaemsaidia kutengeneza nyukilia hamna kitu.
Maneno ya mipasho dont work with me. Ukiweza nyoosha maelezo nitakuonesha kwa mara nyingine ubabe na ubavu IADF ambao mnaudiss na unawashangaza kila leo.Manenobya tundu lissu samia anachezea kanisa wale jamaana makofia wabaya hzo ni hekaya kichapo kapatiwa mademu wakiwa ofisini na handbags na lipstick
huna unachoelewa kwahio tuliza komweAcha kupindisha, Israel bila marekani+Nato sio chochote, mnajua kila kitu ila kibri na chuki.
uko mweupe sana kwenye siasa, ipo sku utaelewa kwann marekan kajifunga kwa muisrael na hataki mtu amguseSio bila ya Israel Marekani inakuaje
Sema bila ya Marekani Israel inakuaje na jibu lipo tumeona jinsi ilivyo kuwa Baada ya kuchwapwa na Irani
Alafu basi uwe unangalia hata habari zinazoendela Baada ya vita
Trump ameiambia Irani kama itaishambulia tena Israel basi Marekani itapeleka jeshi lenye zana mzito kuenda kuishambulia Irani
Na raisi wa China akamjibu Trump kuwa Irani haiko peke yake ukiishambulia na Mimi nitakushambulia
Kama Israel inajiweza Kwa Nini Trump aseme hivi?
Israel anawaonea hao hao wanamgambo na wanawake na watoto hana uwezo wowote
hio ni ripoti ya media lakini uchunguzi hausemi ivoAjawai tatizo!!!
ila usidanganye watu kilichotokea majeshi yamejipiga yenyewe kimakosa. !!
Sio neno Israe kashawai mpiga marekani au mim sijuu fafanua zaid?
Wakidhani ni MELI ya Jesh la Misri!!
Ipo siri inafichwa kwenye tukio la Meli kupigwa wakafa wajeda wa USA.!!
. jambo lipo linatokea maeneo mengi ya Vita ata Gaza wanajesh wa Israel wameuwana sana wenyewe kwa wenyewe ukiacha pia kuuwa raia wao w 3 kuna mengi yanafichwa.
Bado ni prototype(sampuli kifani) acha ushabiki wa kijinga. Iran Hana fighter jets as of now..Yani unaamanisha kuwa Irani hana Ndege za kijeshi?
Wewe wapi au mkulima wa maparachichi from Chunya?
Hizo apo ziangalie tena hizo ametengeneza mwenyewe sio kama hao wanaotegemewa Hadi wapewe na Marekani
Unapoteza muda kuandika upupu.Kwaiyo ujagundua tu kuwa Israel imepigika vibaya kiasi cha kusimamisha vita alivo vianzisha !!!
na sasa Israel inapigana Kigaid Gaid Ajabu na Walokole kwasasa wanashangilia Ugaid !!
wacha mvua inyeshe bado kunamatundu tutayaona!!!
Kutoka Israel wasioshindwa hadi waisrae watega mabomu kigaid !!
Kwasasa wenye Akili wameelewa kuwa Israel hiii Media Media ni FAKE !!
Waisrael OG ndio Iran !!
kwamacho yetu tumeona Iran katupigia Adui yake kwa siku12 tu Adui kachakaa kias cha Babake kurusha taulo !!!
mshangao Iran wakiwa Hm tu..!!
hiii kitu tunajua Wachungaj imewauma sana !!
Sababu Sadaka zinapungua waumin wanataka kusikia tu kuwa Waisrael ni chuma chapua awapigiki wanaweza piga ata iyo Marekani na Dunia yate !!!
kiufupi wameweka tumaini kubwa kwa waisrael awa fake na ni MASHOGA. !!
Waumin wamekubali kijinga kudanganyika kuusu Israel..!!
vichwani kwasasa kuna vitu v3
KUMBE ni makatili sana.
KUMBE nao wanapigika kama ivi
KUMBE jamaa ni Misodoma mishoga,,
Iran fighter jets anazo.Bado ni prototype(sampuli kifani) acha ushabiki wa kijinga. Iran Hana fighter jets as of now..
😁😁😁mama jusi wa kiebraniaMamajusi wa Kiebrania kutoka Buza kwa Mpalaange njooni huku
Mamajusi wa Buza kwa Mpalange
Dah vimaamuma vipo intaneti cafe na cpu zao old model vinacheza game, kobaaaz busha wa kwa mpalange anadanyika kuwa kuna operasheni ya kijeshi walikuwa wanafanya aiseeKatika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu
Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje
View attachment 3416211View attachment 3416212
Wewe ndio Mweupe Sasa ngoja nikufundisheuko mweupe sana kwenye siasa, ipo sku utaelewa kwann marekan kajifunga kwa muisrael na hataki mtu amguse
unaongea upuuzi, elewa wewe ni mweupe kwenye siasa hizi, anaechagua raisi wa marekani ni myahudi na wao ndo wanaamua marekani iende uelekeo gan, ukiambiwa we mweupe ueleweWewe ndio Mweupe Sasa ngoja nikufundishe
Israel ni base ya Marekani na mshirika wake Uingereza
Israel wamewekwa pale Ili kulinda masirahi ya Marekani na Uingereza katika mashariki ya kati
Na ndio maana madui wote wa Marekani mashariki ya kati pia ni madui wa Israel Kwa sababu ndio kazi iliyomfanya awekwe pale
Nakupa mfano mmoja tu wa ambao ni SIRIYA na LEBANON
Marekani anatakani kuzitawala serikali za hayo Maeneo Ili iwe rahisi kwake kupitisha gasi kutoka Qatar Ili kuzifanya nchi za Ulaya zisitegemee gasi ya urusi maana Qatar Kuna gasi nyingi sana
Ili Marekani afanikiwe katika hilo lazima hayo Maeneo kuwa na watawala aliyowaweka yeye
Na ndio maana katika vita vya eneo hilo na Urusi pia ipo Ili kupambana na Hira za Marekani
Sasa nyinyi mambumbu mnang'ang'ana tu na mda mwingine mnaingiza Hadi chuki za kidini wakati zile ni vita za kiuchumi
Wacha conspiracy za kipuuzi.unaongea upuuzi, elewa wewe ni mweupe kwenye siasa hizi, anaechagua raisi wa marekani ni myahudi na wao ndo wanaamua marekani iende uelekeo gan, ukiambiwa we mweupe uelewe
ebu pata somo fupi kwanza kutoka kwa lissu maaana siasa ni kama hamzielewi kabisa: anza apa apo video inapoanzaWacha conspiracy za kipuuzi.
Ingekua ni sahihi usemayo basi US ingekua inafanya Kila anachotaka Israel.
kwan hawafanyi? kwan raisi wa marekani si wanamuweka wao: president wa zamani pia si alishasemaWacha conspiracy za kipuuzi.
Ingekua ni sahihi usemayo basi US ingekua inafanya Kila anachotaka Israel.
huyu apa president mwingine akiongelea:Wacha conspiracy za kipuuzi.
Ingekua ni sahihi usemayo basi US ingekua inafanya Kila anachotaka Israel.