Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Kwani marekani alipiga Tehran?IRAN waoga hakuna walichofanya wangerusha Rocket mbili uko New York City au Washington DC ndiyo ningewaona wamefanya la maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani marekani alipiga Tehran?IRAN waoga hakuna walichofanya wangerusha Rocket mbili uko New York City au Washington DC ndiyo ningewaona wamefanya la maana.
Sasa hv Marekani wana technologia kubwa hawana haja ya kuingia msituni kama mabogaApewe go ahead au anakumbuka kilichomkuta kule vietnam alipojipeleka kiboya.
dodge
Mkuu America ashakula kona hana uwezo wa kujibuNaunga mkono hoja kamanda.
dodge
AljazeeraHakuna data yeyote iliyo toka na na kusema kuna mtu kafa ama la, alafu sio makombora 35 huo ni uongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia ni zaidi ya 80 na wengine 200 wamejeruhiwa na 45 wako kwenye hali mbaya Sana.
Kwa mujibu wa Alijazra na taalifa kutoka kwa baadhi maafisa wa IraqOff target ndiyo nini mkuu maana trump kasema wamekufa wanajeshi wa 2 na wengine wapo kwenye hali mbaya sana.na huyo ni trump ambaye hawezi akaongea ukweli kabisa, inamaana ukweli unaweza kukuta hata 20 wamekufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa shirika la Aljazira na ripoti kutoka kwa baadhi ya maafisa wa Iraq zinasema ni zaidi ya wanajeshi 80 walio uawa.Off target ndiyo nini mkuu maana trump kasema wamekufa wanajeshi wa 2 na wengine wapo kwenye hali mbaya sana.na huyo ni trump ambaye hawezi akaongea ukweli kabisa, inamaana ukweli unaweza kukuta hata 20 wamekufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani marekani walirusha Rocket teiran?IRAN waoga hakuna walichofanya wangerusha Rocket mbili uko New York City au Washington DC ndiyo ningewaona wamefanya la maana.
Ni aljazeera MkuuPropaganda at work. Wao wamejuaje wakati hawajaenda kwenye hizo bases
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa mujibu wa Aljazira.Propaganda at work. Wao wamejuaje wakati hawajaenda kwenye hizo bases
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata babylon ya kale ilikuwa km usa. But waajemi wakailaza chali. Ikiandikwa lazima itimie haijalishi una ukubwa gani.Acha blah blah zako.
Unafikiri kuiangusha Marekani ni kitu cha mchezo mchezo. Iran wanajaribu tu, watakachovuna watajuta milele. Siipendi Marekani lakini siwezi kuibeza kwa nguvu zao za kiuchumi, kijamii na kivita. Marekani ni kama maji vile, usipoyaoga utayanywa.
Pia usisahau uwepo wa taifa la Israel leo hii ni matokeo ya kulindwa na Marekani, siku Marekani ikianguka basi ujue na Israel inafutika katika eneo la Mashariki ya kati mara moja.
Kuna Tagerts.3 in short term [emoji117]
Kwan Jana US Si Alikanusha Yakwamba Haondoi Majeshi Yake Nahata Ondoa Mpaka Alipwe Billions Of Dollars Zake Alizotumia Kuwekeza IRAQ Ama Majicho Namasiko Yangu Tu Ndio Hayakuona Na Kusikia VYEMA...!?Cha kusikitisha zaidi mataifa yote mawili hayapigani kwenye ardhi za nchi zao, bali wanapigania Iraq ambapo tayari Iran inaamini kwamba ni Marekani ndogo baada ya Marekani kuihodhi Iraq kwa kisingizio cha kuijenga upya na kulinda amani.
Mwisho wa siku wa Iraq ndio hasa watakao athirika na hii vita ya mafahari wawili.
By the way, mbona Marekani iliwaondoa wanachi na majeshi yake yote huko Iraq..??
Sasa Iran anapo shambulia vituo vya Marekani ilhali tayari Marekani iliwaondosha watu wake, Je hapo Marekani ana athirika vipi..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwa akili yako Iran hana majasusi nchi Iraq.Muwe mnasoma na kuelewa. Hapo imeandikwa Iran State TV
Wao wamejuaje wakati hawajaenda kwenye hizo bases
Sent using Jamii Forums mobile app