Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Hakuna data yeyote iliyo toka na na kusema kuna mtu kafa ama la, alafu sio makombora 35 huo ni uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aljazeera
tapatalk_1578468360226.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Off target ndiyo nini mkuu maana trump kasema wamekufa wanajeshi wa 2 na wengine wapo kwenye hali mbaya sana.na huyo ni trump ambaye hawezi akaongea ukweli kabisa, inamaana ukweli unaweza kukuta hata 20 wamekufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa Alijazra na taalifa kutoka kwa baadhi maafisa wa Iraq
Off target ndiyo nini mkuu maana trump kasema wamekufa wanajeshi wa 2 na wengine wapo kwenye hali mbaya sana.na huyo ni trump ambaye hawezi akaongea ukweli kabisa, inamaana ukweli unaweza kukuta hata 20 wamekufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa shirika la Aljazira na ripoti kutoka kwa baadhi ya maafisa wa Iraq zinasema ni zaidi ya wanajeshi 80 walio uawa.
 
Acha blah blah zako.
Unafikiri kuiangusha Marekani ni kitu cha mchezo mchezo. Iran wanajaribu tu, watakachovuna watajuta milele. Siipendi Marekani lakini siwezi kuibeza kwa nguvu zao za kiuchumi, kijamii na kivita. Marekani ni kama maji vile, usipoyaoga utayanywa.

Pia usisahau uwepo wa taifa la Israel leo hii ni matokeo ya kulindwa na Marekani, siku Marekani ikianguka basi ujue na Israel inafutika katika eneo la Mashariki ya kati mara moja.
Hata babylon ya kale ilikuwa km usa. But waajemi wakailaza chali. Ikiandikwa lazima itimie haijalishi una ukubwa gani.
Watalala usiku km siku nyingine...but asubuhi wataamka majivu ya nuclear
The NEW WORLD ORDER WILL COME lakini lazima OLD WORLD ORDER IONDOKE.
Na hiyo new world order USA hatakuwa Super Power/pesa haitakuwa dola tena....na nchi zote duniani zitasurender Power zao kwa Entity moja...ili kusiwe na vita tena..kutakuwa no boundaries.
Maana the next WWar dunia itaachwa chakavu vibaya....na haitakuwa ya muda mrefu sababu NUCLEAR ITAHUSIKA NA NCHI KM MBILI TATU KUBWA ZITADHURIKA SANA NA MOJAWAPO NI USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kusikitisha zaidi mataifa yote mawili hayapigani kwenye ardhi za nchi zao, bali wanapigania Iraq ambapo tayari Iran inaamini kwamba ni Marekani ndogo baada ya Marekani kuihodhi Iraq kwa kisingizio cha kuijenga upya na kulinda amani.
Mwisho wa siku wa Iraq ndio hasa watakao athirika na hii vita ya mafahari wawili.
By the way, mbona Marekani iliwaondoa wanachi na majeshi yake yote huko Iraq..??
Sasa Iran anapo shambulia vituo vya Marekani ilhali tayari Marekani iliwaondosha watu wake, Je hapo Marekani ana athirika vipi..??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Jana US Si Alikanusha Yakwamba Haondoi Majeshi Yake Nahata Ondoa Mpaka Alipwe Billions Of Dollars Zake Alizotumia Kuwekeza IRAQ Ama Majicho Namasiko Yangu Tu Ndio Hayakuona Na Kusikia VYEMA...!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom