Tunajua kwamva hauna maana hiyoooo...Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Ingekuwa Iran ndo kashambulia kambi na base za Israeli sasa hivi tungekuwa tushaona moto ukiwaka huko mashariki ya kati
Lakin America lazima kala kona hana uwezo kabisa wa kuijibu Iran ni muoga sana
Wale mashabiki wa America kaeni mkijua kabisa kuwa America hatojibu zaidi atatafuta visingio tu kuwa bunge limemuzuia Trump asiingie vitani
America ni waoga sana
Ni mara mia uishabikie Burundi lakini siyo America utaumia sana
Stay tuned
We are together
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Iran hawajifunzi kilichomkuta Sadam husseinJana usiku baada ya shambulizi,ndege za marekani Kama sita zikanyanyuka toka UAE kuelekea Iran,
Iran wakatoa onyo kwa United Arab Emirates kuwa endapo hizo ndege zitapiga iran,wao wataupiga mji wa Dubai,baada ya mda sikusikia ndege za marekani kujibu mashambulizi,
Wakati huo Iran ndege zake zishaingia anga la Iraq ,ripoti ya mwisho kabla sijapitiw usingizi Iran wametungua ndege ya marekani karibu na bandar Abbas,Bado sijaconfirm
Poleni sana [emoji12][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14]
Mkuu unadhan tz tutaungana na nani?Mzungu haji kama unavyofikiria brother.
Ulicheck wakati wa Osama, nchi za kiarabu zimepigwa kwa kisingizio eti tumepata taarifa kuwa Osama kakimbilia sehemu fulani; wanakupiga unabaki na maumivu!
Ujue kabisa hii vita ikitokea kuna Waafrika watakwenda kusaidia upande wa yule wanaomkubali. Na hapo ndipo utakuwa mwanzo wa chuki na kupigwa na either mzungu or mwarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Pole sanaMuwe mnasoma na kuelewa. Hapo imeandikwa Iran State TV
Wao wamejuaje wakati hawajaenda kwenye hizo bases
Sent using Jamii Forums mobile app
Point yangu bado iko paleOff target ndiyo nini mkuu maana trump kasema wamekufa wanajeshi wa 2 na wengine wapo kwenye hali mbaya sana.na huyo ni trump ambaye hawezi akaongea ukweli kabisa, inamaana ukweli unaweza kukuta hata 20 wamekufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio kuna uwezekano wewe hapo unajua mambo ya intelligence kuzidi wanajeshi wa iran wenye uzoefu wa kupambana na US kwa miaka 40 sio?
Kweli bongo bahati mbaya.
dodge
habari kutoka ndani ya Iraqmakombora yote yametua pembeni
Sasa hv Marekani wana technologia kubwa hawana haja ya kuingia msituni kama maboga
Uwepo wa PUTIN Kipindi Hiki Pale Mido Ist Una Ashiria Nn Mkuu Maana Natafakari Ila Sijaelewa Mpaka sasa Aseeee....Tanzania iondoe raia wake mashariki ya kati wabaki a few specilized diplomats! Kuna baadhi ya wanafunzi wa uhandisi walienda Israel, sina hakika kama wamerudi! Hali si nzuri. Uwepo wa Putin Syria hauwezi kutuliza mzuka !?