Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Hapa lazima Trump aombe maridhiano maana hawezi kuingia vitani wakati uchaguzi ni November atawaeleza nini wamarekani

Anaelewa kitendo cha kjjibu hili shambulizi kitafuatiwa na mashambulizi ya mfururizo kutoka Iran dhidi ya washirika wake hasa saudia
 
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Ingekuwa Iran ndo kashambulia kambi na base za Israeli sasa hivi tungekuwa tushaona moto ukiwaka huko mashariki ya kati

Lakin America lazima kala kona hana uwezo kabisa wa kuijibu Iran ni muoga sana

Wale mashabiki wa America kaeni mkijua kabisa kuwa America hatojibu zaidi atatafuta visingio tu kuwa bunge limemuzuia Trump asiingie vitani

America ni waoga sana

Ni mara mia uishabikie Burundi lakini siyo America utaumia sana

Stay tuned

We are together

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua kwamva hauna maana hiyoooo...
 
Jana usiku baada ya shambulizi,ndege za marekani Kama sita zikanyanyuka toka UAE kuelekea Iran,
Iran wakatoa onyo kwa United Arab Emirates kuwa endapo hizo ndege zitapiga iran,wao wataupiga mji wa Dubai,baada ya mda sikusikia ndege za marekani kujibu mashambulizi,
Wakati huo Iran ndege zake zishaingia anga la Iraq ,ripoti ya mwisho kabla sijapitiw usingizi Iran wametungua ndege ya marekani karibu na bandar Abbas,Bado sijaconfirm
Hivi Iran hawajifunzi kilichomkuta Sadam hussein
 
Trump ndie atanyongwa mda so mwing wamarekan watamkataa na hawatamuunga mkono kwenye hii vita aliyoianzisha mwenyewe HATA wamarekan hawajafrahia kitendo alichokifanya trump kwa Iran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nyinyi watanganyika mmenyang'anywa jina lenu la asili lakini mmekaa kimya kama vile mmemwagiwa maji.
 
Mzungu haji kama unavyofikiria brother.

Ulicheck wakati wa Osama, nchi za kiarabu zimepigwa kwa kisingizio eti tumepata taarifa kuwa Osama kakimbilia sehemu fulani; wanakupiga unabaki na maumivu!

Ujue kabisa hii vita ikitokea kuna Waafrika watakwenda kusaidia upande wa yule wanaomkubali. Na hapo ndipo utakuwa mwanzo wa chuki na kupigwa na either mzungu or mwarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unadhan tz tutaungana na nani?

Ila Mimi nataka marekani apigwe bhana kaleta sintofahamu nyingi kwenye dunia hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump kawa mdogo kama piriton hakutegemea kitu kama hii kabisa

Nasikia hajui hata afanye nini maana kila anachopanga kufanya anaona ndio atazidi kuharibu kabisa
 
Off target ndiyo nini mkuu maana trump kasema wamekufa wanajeshi wa 2 na wengine wapo kwenye hali mbaya sana.na huyo ni trump ambaye hawezi akaongea ukweli kabisa, inamaana ukweli unaweza kukuta hata 20 wamekufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Point yangu bado iko pale

Zaidi ya mabilion ya dollar umeyatumia kununua silaha halafu zinakuja kuua watu wawili ambao wangeweza kuuliwa na shoka la shilingi 5000

FB_IMG_15784686719708712.jpeg


It's Scars
 
Hao hamna lolote hata iraq walikuwa na nguvu zaidi ya wao sasa hivi wako wapi,marekani ndo inakimbiza bado
Kwa hio kuna uwezekano wewe hapo unajua mambo ya intelligence kuzidi wanajeshi wa iran wenye uzoefu wa kupambana na US kwa miaka 40 sio?

Kweli bongo bahati mbaya.

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
makombora yote yametua pembeni
habari kutoka ndani ya Iraq
===
09:14

No Casualties Among Iraqi Forces According to Country's Military, 22 Missiles Landed on US-led Coalition Headquaters
Iraq's military said on Wednesday that no casualties were recorded among the country’s forces from the 22 projectiles launched on the Ayn al-Asad Air Base, housing US troops, in the western province of Anbar province and a base in Erbil.
"Iraq was subjected between 1:45 and 2:45 this morning of 8 January 2020 to bombardment by 22 missiles; 17 missiles fell on Ayn al-Asad Air Base including two that did not explode ... and five on the city of Erbil that all fell on coalition headquarters. No casualties among Iraqi forces were recorded", a statement from the Iraqi military said as quoted by Reuters.
 
Tanzania iondoe raia wake mashariki ya kati wabaki a few specilized diplomats! Kuna baadhi ya wanafunzi wa uhandisi walienda Israel, sina hakika kama wamerudi! Hali si nzuri. Uwepo wa Putin Syria hauwezi kutuliza mzuka !?
Uwepo wa PUTIN Kipindi Hiki Pale Mido Ist Una Ashiria Nn Mkuu Maana Natafakari Ila Sijaelewa Mpaka sasa Aseeee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom