Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
I asked you don't you see my question?Hahah Propaganda machine.
dodge
Ditch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I asked you don't you see my question?Hahah Propaganda machine.
dodge
Hahah hebu niambie Sadam alikua anatumia tech. gani kutengeneza silaha zake?
dodge
Bro unaishi ulimwengu upi?Hebu nionyeshe ni wapi dunia imepiganwa vita kwa kutumia hio tech bila askari wa miguu?
dodge
Mi nadhan hakuna vita itakayotokea, na hakuna anaetaka vita sio US wala Iran.
Javad Zarif, Foreign Minister wa Iran kwnye twitter page yake..... anasema baada ya kuattack base za US wame "conclude" revenge yao and hawana mpango wa vita.
Iran wako under pressure kutoka ndani to respond lakini wamefanya shambulio calculated bila kusababisha casualties/vifo na kuplay diplomacy.
Kwa sasa nadhan balance kwny hii saga is restored, US walimuua general wakabaki na guilt, Iran amerespond somehow so guilt is written off...... suala hapa ni "what comes next", tusitegemee vita ila figisu zitaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran bhana...nasikia wametangaza wameua 80 wakati huohuo Iraq inasema hakuna aliyekufa.Trump anasema bado wanafanya tathmini ya hasara wewe unasema mabomu yameanguka pembeni! Ebu tufafanulie, uko Pentagon command and control centre ama Kilimatinde?( jokes)
Urusi, North korea au China...Ila Iran wanataka washambuliwe waiingize Israel vitani ili kuungwa mkona na waarabu pro-Shai.
Trump nae anashida ya maelewano na wapanga vita wake.. anata 'pigaua' bila kujali upande wa kisiasa kwake na uhusiano na mataifa ya Ulaya
Hii ni aibu ya marekani katika uso wa dunia .Aman iwe nanyi wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
America mbona hajibu wakuu
Kama kweli yeye ni mwanaume si ajibu
Mbona kala kona mapema sana
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
[emoji12][emoji12][emoji12]Maandiko yametabiri Marekani itaangushwa na Irani,Kisha Irani itakua dola yenye nguvu duniani kwa muda Kisha itaangushwa na North Korea,tukiangalia maandiko Marekani Ni mwisho wake umekaribia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kuna yalo hit target kitendo chakuhit target tu inaonesha machuma chuma ya US Hayana Maana [emoji23][emoji23][emoji23]military source from Tehran told Sputnik that Iranian military jets are airborne and currently flying in border areas as the operation takes place.
Earlier Wednesday morning, approximately 35 missiles were launched and struck US targets in Erbil, Iraq and the country's Ayn al-Asad Air Base, which houses US military forces.
Wamerusha makombora 35 kati ya hayo yote 15 tu wamefanikiwa kuingia Iraq mengine itakua yamedondoka njiani. Na Kati ya hayo 15 kuna mengine bado hayakuhit Target ndo maana mpaka hakuna Mmarekani au mwanajeshi aliyekufa.
Second Wave of Missile Attacks Fired Against US Targets in Iraq - Iranian Media
Sent using Jamii Forums mobile app