Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Aljazira ndio nini wewe?Aljazira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aljazira ndio nini wewe?Aljazira
Unakumbuka maneno yangu nikikwambia kama kisasi lazma kilipwe US Wamebakia wanabweka kama UmbwaKama Israel atahusika kwa namna yoyote ile, hamna haja ya kumuomba Mungu. Msimamo wake unaeleweka.
Acha Iran ambaye yupo karbu , anakuchafua hata ww hapo hapo ulipo tokea Us, Ila ww huwez
Iran kajuaje kuwa wanajeshi wa marekani wamekufa wakati yeye hayupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna rada za marekani zilizotambua hapo ndo wajue sio wao pekee tu wana vifaa bora, umesikia kauli ya trump kua wana vifaaa bora ukitafasri utaona Iran imetumia vifaa bora mpaka kuweza kushambulia kambi 2,kama wakati wa nyuma Iran aliweza kusambaratisha ile dron ambayo haionekani kwenye rada watashindwa nn kupiga kambi za jeshi la marekani maana inaonekana sasa marekani anapata tabu kuongia Iran kufanya mashambulizi ndo maana alimuua jeneral akiwa IraqHaijalishi madhara ni makubwa ama madogo lakini Iran kashambulia kambi mbili kwa mpigo pasipo rada za Marekani kuyapangua makombora
Sad[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Taarifa niliyonayo dakika hii Iran wametungua ndege ya Ukraine kwa bahati mbaya
Kama ni kweli wamekufa idadi iyo, Trump atatangaza vita rasmiSoma hiyo mzee.
Japokuwa bado siamini sana.View attachment 1315636
Sent using Jamii Forums mobile app
Koran ndio bado iko huko.Niko ubaruku,lakini nadhani wewe Bado unaishi Karne ya 18
Makombora 15 yaliyo hit 11? Mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani tuisemeaje sasa? Tuilete picha gani?Iran Fires 15 Ballistic Missiles at US Bases in Iraq, 11 Hit Targets - Reports
Iran launched a total of 15 ballistic missiles at US bases in Iraq, 11 of them hit the targets, ABC News reported on Wednesday citing a defence official.
===
(11/15)× 100=73%. Accuracy siyo mbaya. Kwa hiyo, Patrotic ina accuracy ya kulinda ngome kwa 27%. Jeshi la marekani liko hatarini. Maana tunaambiwa Makamanda wa US wako tayari 24/7.
===
There are "no US casualties" from Iran's missile strike, Fox News reported, citing a military official in Baghdad.
- - -
Fox news bwana !
Do you real damn know Oli Smith?
No one is a kid here
Ahh wap,mrus na mrushia anaombea iran apigwe ili wale pa1 na mmarekan mafuta yale,hii ni chin ya kapet
Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi, North korea au China...Ila Iran wanataka washambuliwe waiingize Israel vitani ili kuungwa mkona na waarabu pro-Shai.
Trump nae anashida ya maelewano na wapanga vita wake.. anata 'pigaua' bila kujali upande wa kisiasa kwake na uhusiano na mataifa ya Ulaya
Hahahhh..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kila mtu anamuita mwenzake terrorist.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msha Anza Twaarabu Sasa Au SioWhat if marekan kaachia makusud ili kujipa sabab zaid ya kumtandika iran,nayeye iran kaingia kwenye mtego
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na wewe umeamini Iran wametungua hiyo Boeing 737 old model kwa bahati mbaya?😎Yote haya kayataka Mpuuzi Wakimarekani[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Sad[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni fake news Mkuu...Hivi Iran itungue Ndege ya Marekani hasa kipindi hiki wasituonyeshe kwenye Press TV?!Sina uhakika,maana usiku ndege za marekani zilinyanyuka kuelekea Iran,na Trump alikuwa ahutubie taifa lake usiku huohuo,ghafla Trump akaahirisha hotuba,
Nikasikia Kuna ndege ya marekani imetunguliwa karibu na bandar Abbas,
Mida ya saa Tisa za usiku,now sijui kuliendaje maana Trump mpaka Sasa Yuko kimya,wanadai no casualties Bado wanafanya assessment
napenda vita mm yaan hapa mikono inawasha kwann nimezaliwa bongo ningekuwa Iran huko saa izi naenjoy miripuko tu puuuuu ilooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachojua ni tofauti na uhalisia,USA &mabeberu wa ulaya wanaamini kuwa serikali ya Iran na ndiyo inayohusika na ugaidi dunia hvyo wanatamani hata Leo Irani ipigwe ila serikali za mabeberu walikuwa wanamsuka ili aingie kwenye radar na kweli Irani kaingia yaani hapa ndiyo kathibitisha kweli anafadhili kwa kujibu mapigo baada ya kuuwa uyu bwana kamanda ambaye wamarekani wanadai anausika na mauaji ya zaidi ya wamarekani 600( inaonekana serikali yao imewajenga HV RAIA wake)Taifa la Marekani haliko upande wa Trump kwenye hii vita, ni Trump yeye kama yeye ndo anapigana. Na bila "kuuza sababu za vita" kwa wananchi wa marekani ukaeleweka basi utakuwa unafight a losing war.
Kwa upande wa Iran Taifa zima limeungana nyuma ya viongozi wao na liko tayari kwa chochote.
Kitendo cha Trump kutishia kupiga Cultural sites za Wairan kimewakera mno Wairan kwa hiyo wako tayari kwa lolote.
Kutokana na hilo, Sioni ni kwa namna gani Trump anaweza kujicommit kwenda vitani na Iran halafu akaungwa mkono na bunge la nchi hiyo lenye mademocrats wengi