Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil


Tusubiri Trump Amke, maana kasema anatoa statement asubuhi ya jumatano, bado wako usiku wa jumnne kwao,
Ila tweet yake ya kutaka kulipa kwa kuteketeza Cultural site za Iran, kimeibua Hasira kubwa sana kwa waIran,hata Iranian-American
 
Trump anasema bado wanafanya tathmini ya hasara wewe unasema mabomu yameanguka pembeni! Ebu tufafanulie, uko Pentagon command and control centre ama Kilimatinde?( jokes)
Iran bhana...nasikia wametangaza wameua 80 wakati huohuo Iraq inasema hakuna aliyekufa.

Ngoja tusubiri taarifa kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ni cost huwezi jua itaishia point gani washauri wake wanamkataza kwa sababu hapo kwenye point ya vita ndipo alipoupatia u super power USA.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020.
2+0+2+0::::4
4::::FIRE.AS I SAY BEFORE,SIO HUKO NJE PEKEE KAMA MDHANIAVYO BUT "EVERY WHERE"
#mnajimu NGULI.
 
Aman iwe nanyi wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

America mbona hajibu wakuu

Kama kweli yeye ni mwanaume si ajibu

Mbona kala kona mapema sana

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni aibu ya marekani katika uso wa dunia .

Yani na iran kuihakikishia kuwa itaitwanga marekani zaidi mara 100 , lakini bado wameshindwa kuzuia makombora,tena katika military base yao.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna Unaongea Kinyonge Sana Mkuu Mpaka IRAN Wanapiga Kambi Zakijeshi Za US Hapo IRAQ Yale Machuma Chuma Yao Yalikua Wapi Asee [emoji22][emoji22][emoji22]

US Base In Mido Ist Is Safeless na Machuma Chuma Yao Ni Useless

Waipige afu wasiongeee

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ayatollah naye kajimwambafai naona alikuwa anashuhudia live tukio la makombora kwa TV kama alivyofanya Trump wakati wa kumuua Qassem haya bwana!
 
Iran must stop this nonsense.

Iran inafadhili magaidi wa Hezbollah
Iran inafadhili magaidi ndani ya Revolutionery Guard
Iran ina mawazo mgando ya kuifuta Israel - hii ni laana na hawatafanikiwa

Ayatollah aache kuwajaza Wairan matumaini hewa. Marekani watakapojibu watakaoumia ni hao wamama na vitoto vinavyoimba Death to America kwa kufata mkumbo.
 
Hayo makombor yamesababisha mashara gani?
Vifo vingapi??
Uharibifu gani umetokea??
 
Ila kuna yalo hit target kitendo chakuhit target tu inaonesha machuma chuma ya US Hayana Maana [emoji23][emoji23][emoji23]

Inaonesha Kambi Zao Sio Salama Na Imeonesha IRAN Wametekeleza Kusema Kwamba Watajibu

Nilitegemea Patriotic Ingetungua Walau Kakombora Kamoja Ase


US=PAPER TIGER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…