Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Dah mods mnazingua mmeunganisha uzinwangu ili iweje?????????????

[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Iran kasema US ikijifanya kujibu mapigo, yeye atapiga Haifa Israel, na Dubai,
Hili Zengwe si la kitoto, Mungu aliepushie mbali.
 
Hamna cha hesabu za juma wala wiki za mwisho wa dunia. Mimi ni mkristo na naamini sana. Lakini haya ya kibwetere wa uganda sijui siku za mwisho ngapi ngapi hatuna kitu kama hicho. Na yataisha hayo majuma ngapi ngapi,bado utakuwa unatoa macho tu. Sijui utasema hesabu zimegoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna namna bro,,,,ngoja tutazame mtanange huu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran baba lao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No casualties? Independent press muhimu kweli. Anyway casualites are not the dead,casualities are we the living who tarnish humanity with endless brutality and violence.
Askari wa Iraq ndiyo ambao hawajaumia kwa mujibu wa taarifa hiyo... ila mahali yalipodondoka makombora 17 ndani ya kambi bado wanafanya tathmini.
 
Targeting culture sites in war is illegal. It is a war crime.

Go and read "The Hague Convention for the Protection of Cultural Property in the Event of Armed Conflict, 1954".

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo mbona limeshafanyika bila kuvurumusha kombora.

Kwa taarifa yako wanawake Iran hawana nafasi ya kuwahutubia wanaume,
Lakini yatima binti wa selemani kasimu amemuhutubia mpaka ayatollah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…