Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Dah mods mnazingua mmeunganisha uzinwangu ili iweje?????????????

[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji54][emoji23][emoji23][emoji15][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14]Unakumbuka maneno yangu nikikwambia kama kisasi lazma kilipwe US Wamebakia wanabweka kama Umbwa


ISRAEL Nae Akijipendekeza Atapigika 2 Kama Haamini Ajaribu Aone Kitakachomkuta ........

Sent using Jamii Forums mobile app

Iran kasema US ikijifanya kujibu mapigo, yeye atapiga Haifa Israel, na Dubai,
Hili Zengwe si la kitoto, Mungu aliepushie mbali.
 
Hapana sio kama wiki kama wiki ya kawaida, huu ni muda wa kiunabii, ambao siku moja nisawa na Mwaka mmoja.

Hapa kuna majuma 70 ..... Yakagawanya ktk majuma 69 ya kwanza..na Juma LA mwisho linaloitmisha 70..

Ni somo refu Mkuu ...mpaka nitulie nikueleze kwa ufasaha.


Ila nimambo ambayo ukiyajua , ukasoma Biblia vzuri, huwez shangaa nakinachoendelea leo Duniani.
Hamna cha hesabu za juma wala wiki za mwisho wa dunia. Mimi ni mkristo na naamini sana. Lakini haya ya kibwetere wa uganda sijui siku za mwisho ngapi ngapi hatuna kitu kama hicho. Na yataisha hayo majuma ngapi ngapi,bado utakuwa unatoa macho tu. Sijui utasema hesabu zimegoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utani tunalipiza leo leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200108_111039.jpg
 
Hakuna namna bro,,,,ngoja tutazame mtanange huu
Mwanzo wa mwisho wa haya yote, TV ya taifa ya Iran imesema Iran ndio ilihusika, Mungu atunusuru maana hapo hamna kingine, shambulizi la wazi kutoka Iran hadi kwenye kambi la wanajeshi wa Marekani ni wazi kwamba ngoma imeanza, hivi karibuni dunia itegemee kuona shughuli ambayo haijatokea muda mrefu.

Hapa aidha urudi kwenye tumbo la mama yako au ukubali kupokea yajayo, dunia itawasklizia Urusi na Uchina kama wataachia Iran apambane mwenyewe au wataingiza pua moja kwa moja, na wakijiingiza ndio basi.

====
Iran strikes back: Multiple rockets are launched at Al-Asad airbase in Iraq that is home to US and Coalition forces and was visited by Donald Trump
  • Iran state TV says Tehran has launched 'tens' of surface-to-surface missiles at Iraq’s Ain Assad air base housing US troops
  • The base for American and coalition troops continued to get pelted with rockets with forces taking a third round Tuesday night, according to militarily sources
  • It's unclear if there are any casualties at the base where President Trump visited in December 2018
  • Local reports initially suggested that five rockets had struck the al-Taji military base situated 30km north of Baghdad, after 'shelter in place' sirens were heard
  • However, Kurdistan 24 reporter Barzan Sadiq later tweeted that the base was calm on Tuesday night and suggested the purported attack was likely just a drill
  • Reports of the alleged strike occurred just hours after a flurry of US airstrikes were carried out on militia bases in Western Iraq and Syria

Tehran has tonight launched a missile attack on Iraq's Ain Assad air base housing US and coalition troops, defense sources have revealed.

Iranian state TV said 'tens' of surface-to-surface missiles were launched Tuesday.

The base was hit by three barrages of missiles according to militarily sources at the location.

Facilities targeted by ballistic missiles from inside Iran include Erbil in northern Iraq and Al Asad in western Iraq, an official said.

'Under missile attack from Iran,' Fox News reported a senior US military source in a Iraq said. 'These are either cruise missiles or short range ballistic missiles. All over the country.'

It's unclear if there are any casualties at the base where President Trump visited in December 2018.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia inasubiri itangaziwe kamanda atakaenda kuifurusha Iran na kanzu na ndevu zao.

Biashara kubwa kuliko zote duniani Ni biashara ya kutumia au kuuza silaha. Mataifa yametengeneza silaha, yatazitumoa wapi?

Iran zitatumika tu na ndio mwisho wa taifa la kimapinduzi la Iran

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran baba lao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No casualties? Independent press muhimu kweli. Anyway casualites are not the dead,casualities are we the living who tarnish humanity with endless brutality and violence.
Askari wa Iraq ndiyo ambao hawajaumia kwa mujibu wa taarifa hiyo... ila mahali yalipodondoka makombora 17 ndani ya kambi bado wanafanya tathmini.
 
Targeting culture sites in war is illegal. It is a war crime.

Go and read "The Hague Convention for the Protection of Cultural Property in the Event of Armed Conflict, 1954".

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo mbona limeshafanyika bila kuvurumusha kombora.

Kwa taarifa yako wanawake Iran hawana nafasi ya kuwahutubia wanaume,
Lakini yatima binti wa selemani kasimu amemuhutubia mpaka ayatollah.
 
Back
Top Bottom