Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Mkuu Mlitaka IRAN Ajibu Kaishajibu HUKO Mnasemaje ?!
China na Huawei walipigishwa magoti USA, kwa hili nalo tutaona rangi ya moto tofauti na tuliyoizoea.
No War In Mido Ist Hasa Hii Inayohusu IRAN na US Kwasasa


US =PAPER TIGER.[emoji12][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa ni mfanyabiashara


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii ni aibu ya marekani katika uso wa dunia .

Yani na iran kuihakikishia kuwa itaitwanga marekani zaidi mara 100 , lakini bado wameshindwa kuzuia makombora,tena katika military base yao.



Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeshangaa sana kuona makombora ya Iran yamewezaje kupenya defence system za Marekani haijalishi hayajaua mtu lakini kitendo cha kupenya defence system kimewashangaza sana hata wao wenyewe
 
Kumbuka general Suleiman alikuwa hana mtoto mwingine zaidi ya huyo binti mmoja. Ni mtoto wa kipekee wa Suleiman. Ndio maana alipewa hiyo nafasibya kuhutubia

Halafu trump anaongea tuu blah blah sometimes. Pentagon hawawezi kubali kupiga cultural sites..
Hilo mbona limeshafanyika bila kuvurumusha kombora.

Kwa taarifa yako wanawake Iran hawana nafasi ya kuwahutubia wanaume,
Lakini yatima binti wa selemani kasimu amemuhutubia mpaka ayatollah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe siasa za Tanzania zishakujeruh
 
Na wanaweza kweli maana hata ile majuzi kati kule Saudi Arabia kwny visima vyao vya mafuta vilishambuliwa na waasi wa houthi kwa kutumia drones lkn Saudia ikasema hio ni Iran imewashambulia.

dodge
Watu hawajuwi kuwa marekani tangu aanze kuvamia vamia nchi hajawahi kutana na nchi yenye uzito wa Iran!
 
Tunasubir kuona casualties, kushambulia sio tatizo
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]dah watu mnatamani vitaa,,,Vita kamwe haiwezi tokeaa soon tu inazimishwa alafu ukumbuke,,,,,marekani Hana shida saaana na Iraq saana anawataka wale masapporter Kama China,urusi na wengine ndio ajichumbue nao kairaq nikama ka catalyst [emoji38][emoji38][emoji38]
Nimesikia nimesikia, sasa usiniangushe, nakuomba

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza hivi kuna vita ya kirafiki kama kunavyokuwa na michezo ya kirafiki , maana naona hii vita nikama yakirafiki au kamnda mkuu wa lran amekula mlungula toka kwa america ilivita iwe kama ilivyo kuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…