Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Tena jiwe liigwe kombora moja tu kama alivyopigwa general quasem
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kinuke na jiwe lipitiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kinuke na jiwe lipitiwe
Wayahudi watapigwa mpaka wachakae HIZBULLAH Kule wame ekwa mkao wakula kama hawapo vile wanangojea IRAN Atoe Go AheadIran kasema US ikijifanya kujibu mapigo, yeye atapiga Haifa Israel, na Dubai,
Hili Zengwe si la kitoto, Mungu aliepushie mbali.
Taarifa ya Al Jazeera imetoka kwenye Televisheni ya Taifa ya Iran
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump kasema Wapi?! Embu tuletee ushahidi.Trump mwenyewe kasema kuna wanajeshi wamekufa na wengine wapo kwenye hali mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
No War In Mido Ist Hasa Hii Inayohusu IRAN na US KwasasaChina na Huawei walipigishwa magoti USA, kwa hili nalo tutaona rangi ya moto tofauti na tuliyoizoea.
Wangeuwawa usa 80 soldiers muda huu Tehran ingekuwa majivu
Unachekesha mkuu.Mkuu America ashakula kona hana uwezo wa kujibu
Iran ndo wababe wa dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN kama anataka kupigana hii vita ajue kabisa yuko peke yake.
MRUSI naye ni Mafia tu aka mfanyabiashara haramu wa silaha hana msaada wowote, Anachosubiri Mrusi ni vita ichanganye IRAN iparaganyike ziibuke kambi za makundi ya kigaidi ndani Iran then mipaka yote ukanda ule kuanzia Irani, Iraq, Syria mpaka Libya iwe wazi na kuruhusu movement za wahuni na uwanja wa kutestia teknolojia. Makundi yakigaidi yakiwa Mengi huwa ni faida kwa Mrusi maana anauza silaha hatari lakini pia anapata muda wa kufanyia majaribio silaha zake..
Waarabu wasipokuwa makini na hii vita ya IRAN, Eneo zima hilo litanuka damu maana IRAN hawezi kuziacha salama SAUDIA, IRAQ,KUWAIT,QATAR NA UAE. na ikifikia hapo ndio iakuwa fursa kwa mamafia wa dunia kuuza silaha kwa njia halali na haramu.. Madege ya Kirusi yale maantonov ya mizigo yatafanya kazi mno pamoja na bahari kuwa busy na wafanya biashara haramu za silaha, nifursa pia kwa wauza vyakula maana hilo eneo linaweza kuwa No fyl zone area na itakuwa only survival of the fittest. Naiona pia Yemen ikegeuka kuwa U-turn na parking yamuda ya madege na manowari za kivita huku jamaa zangu wa chini kwa chini kutokea Yemen wakipenya sana Saudia na wapiganaji wengi wa kisomali kutokea kismayu na Mogadishu sasa wakiwa huru kukatiza ukanda ule kuelekea Iran na Iraq kupitia Yemeni ( Fursa pia kwa Wabongo wenzangu wasioogopa kuuza roho kujitoa kwenda kuwa wapiganaji au kupeleka vyakula, sigara, maji, illegal human traffickers, nk wazee wa bahari wanajua hili)
Hii ni aibu ya marekani katika uso wa dunia .
Yani na iran kuihakikishia kuwa itaitwanga marekani zaidi mara 100 , lakini bado wameshindwa kuzuia makombora,tena katika military base yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo mbona limeshafanyika bila kuvurumusha kombora.
Kwa taarifa yako wanawake Iran hawana nafasi ya kuwahutubia wanaume,
Lakini yatima binti wa selemani kasimu amemuhutubia mpaka ayatollah.
Wewe siasa za Tanzania zishakujeruhProjection za world bank zinaonesha kuna yawezekana wa kuzuka vikundi vya kuzuia ukuaji wa sekta mbalimbali nchini ili kukuza na kukomesha Hali ya kuwanyoshea vidole nchi za watu Kwa mambo mambaya badala ya Mazuri ikiwemo: vikundi vya ugaidi (janjawide, M23), ukabila wakati hata Tanzania vipo Kwa mifumo mbalimbali na watumishi wa Umma Wana maandiko yake na wengine wanavifadhili Kwa fedha mbalimbali
Kwa miaka hiyo kutashuhudia wimbo kubwa la watu kujaziwa uoga ili waogope kujitokeza kuwania uongozi ukiwabana Sana watu vikundi hivyo ni lazima vijitokeze...
Huu Uzi ni kuaishiria mojawapo cha maandalizi ya vikundi hivyo nchini vinavyotaka makubwa bila kupambana katika mifumo uliyopo tutashuhudia uvunjifu mkubwa wa mifumo uliyopo... Kila la kheri Tanzania kujifunza mambo Kwa lazima
Yea ni kweli kabisa, na sidhani kama una wasiwasi na chanzo hicho.Taarifa ya Al Jazeera imetoka kwenye Televisheni ya Taifa ya Iran
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawajuwi kuwa marekani tangu aanze kuvamia vamia nchi hajawahi kutana na nchi yenye uzito wa Iran!Na wanaweza kweli maana hata ile majuzi kati kule Saudi Arabia kwny visima vyao vya mafuta vilishambuliwa na waasi wa houthi kwa kutumia drones lkn Saudia ikasema hio ni Iran imewashambulia.
dodge
Tunasubir kuona casualties, kushambulia sio tatizoHakuna rada za marekani zilizotambua hapo ndo wajue sio wao pekee tu wana vifaa bora, umesikia kauli ya trump kua wana vifaaa bora ukitafasri utaona Iran imetumia vifaa bora mpaka kuweza kushambulia kambi 2,kama wakati wa nyuma Iran aliweza kusambaratisha ile dron ambayo haionekani kwenye rada watashindwa nn kupiga kambi za jeshi la marekani maana inaonekana sasa marekani anapata tabu kuongia Iran kufanya mashambulizi ndo maana alimuua jeneral akiwa Iraq
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utanicnn wameripoti zaidi ya wanajeshi 80 wa us wamekata moto na 200 mahututi ndege zisizo na rubani sita na helkopta saba kwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kuniambia israel naye hayupo tayar kumsaidia US acha kujidanganyaDaah kama ameweza kuishambulia Direct kambi za US no wonder Saudi Arabia,Israel,Syria,Iraq,Lebanon,Turkey wote wanamuogopa Iran,si wa mchezo mchezo yule jamaa. profesawaaganojipya,
dodge
Ripoti ambayo haijawa comfirmedAcha fix mkuu vyombo vyote vya habar duniani havijasema kama kuna vifo wewe unasema kuna vifo vya askar 30 duh....
Sent using Jamii Forums mobile app