Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Mkuu Mlitaka IRAN Ajibu Kaishajibu HUKO Mnasemaje ?!
China na Huawei walipigishwa magoti USA, kwa hili nalo tutaona rangi ya moto tofauti na tuliyoizoea.
No War In Mido Ist Hasa Hii Inayohusu IRAN na US Kwasasa


US =PAPER TIGER.[emoji12][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IRAN kama anataka kupigana hii vita ajue kabisa yuko peke yake.

MRUSI naye ni Mafia tu aka mfanyabiashara haramu wa silaha hana msaada wowote, Anachosubiri Mrusi ni vita ichanganye IRAN iparaganyike ziibuke kambi za makundi ya kigaidi ndani Iran then mipaka yote ukanda ule kuanzia Irani, Iraq, Syria mpaka Libya iwe wazi na kuruhusu movement za wahuni na uwanja wa kutestia teknolojia. Makundi yakigaidi yakiwa Mengi huwa ni faida kwa Mrusi maana anauza silaha hatari lakini pia anapata muda wa kufanyia majaribio silaha zake..

Waarabu wasipokuwa makini na hii vita ya IRAN, Eneo zima hilo litanuka damu maana IRAN hawezi kuziacha salama SAUDIA, IRAQ,KUWAIT,QATAR NA UAE. na ikifikia hapo ndio iakuwa fursa kwa mamafia wa dunia kuuza silaha kwa njia halali na haramu.. Madege ya Kirusi yale maantonov ya mizigo yatafanya kazi mno pamoja na bahari kuwa busy na wafanya biashara haramu za silaha, nifursa pia kwa wauza vyakula maana hilo eneo linaweza kuwa No fyl zone area na itakuwa only survival of the fittest. Naiona pia Yemen ikegeuka kuwa U-turn na parking yamuda ya madege na manowari za kivita huku jamaa zangu wa chini kwa chini kutokea Yemen wakipenya sana Saudia na wapiganaji wengi wa kisomali kutokea kismayu na Mogadishu sasa wakiwa huru kukatiza ukanda ule kuelekea Iran na Iraq kupitia Yemeni ( Fursa pia kwa Wabongo wenzangu wasioogopa kuuza roho kujitoa kwenda kuwa wapiganaji au kupeleka vyakula, sigara, maji, illegal human traffickers, nk wazee wa bahari wanajua hili)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa ni mfanyabiashara


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii ni aibu ya marekani katika uso wa dunia .

Yani na iran kuihakikishia kuwa itaitwanga marekani zaidi mara 100 , lakini bado wameshindwa kuzuia makombora,tena katika military base yao.



Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeshangaa sana kuona makombora ya Iran yamewezaje kupenya defence system za Marekani haijalishi hayajaua mtu lakini kitendo cha kupenya defence system kimewashangaza sana hata wao wenyewe
 
Kumbuka general Suleiman alikuwa hana mtoto mwingine zaidi ya huyo binti mmoja. Ni mtoto wa kipekee wa Suleiman. Ndio maana alipewa hiyo nafasibya kuhutubia

Halafu trump anaongea tuu blah blah sometimes. Pentagon hawawezi kubali kupiga cultural sites..
Hilo mbona limeshafanyika bila kuvurumusha kombora.

Kwa taarifa yako wanawake Iran hawana nafasi ya kuwahutubia wanaume,
Lakini yatima binti wa selemani kasimu amemuhutubia mpaka ayatollah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Projection za world bank zinaonesha kuna yawezekana wa kuzuka vikundi vya kuzuia ukuaji wa sekta mbalimbali nchini ili kukuza na kukomesha Hali ya kuwanyoshea vidole nchi za watu Kwa mambo mambaya badala ya Mazuri ikiwemo: vikundi vya ugaidi (janjawide, M23), ukabila wakati hata Tanzania vipo Kwa mifumo mbalimbali na watumishi wa Umma Wana maandiko yake na wengine wanavifadhili Kwa fedha mbalimbali

Kwa miaka hiyo kutashuhudia wimbo kubwa la watu kujaziwa uoga ili waogope kujitokeza kuwania uongozi ukiwabana Sana watu vikundi hivyo ni lazima vijitokeze...


Huu Uzi ni kuaishiria mojawapo cha maandalizi ya vikundi hivyo nchini vinavyotaka makubwa bila kupambana katika mifumo uliyopo tutashuhudia uvunjifu mkubwa wa mifumo uliyopo... Kila la kheri Tanzania kujifunza mambo Kwa lazima
Wewe siasa za Tanzania zishakujeruh
 
Na wanaweza kweli maana hata ile majuzi kati kule Saudi Arabia kwny visima vyao vya mafuta vilishambuliwa na waasi wa houthi kwa kutumia drones lkn Saudia ikasema hio ni Iran imewashambulia.

dodge
Watu hawajuwi kuwa marekani tangu aanze kuvamia vamia nchi hajawahi kutana na nchi yenye uzito wa Iran!
 
Hakuna rada za marekani zilizotambua hapo ndo wajue sio wao pekee tu wana vifaa bora, umesikia kauli ya trump kua wana vifaaa bora ukitafasri utaona Iran imetumia vifaa bora mpaka kuweza kushambulia kambi 2,kama wakati wa nyuma Iran aliweza kusambaratisha ile dron ambayo haionekani kwenye rada watashindwa nn kupiga kambi za jeshi la marekani maana inaonekana sasa marekani anapata tabu kuongia Iran kufanya mashambulizi ndo maana alimuua jeneral akiwa Iraq

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubir kuona casualties, kushambulia sio tatizo
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]dah watu mnatamani vitaa,,,Vita kamwe haiwezi tokeaa soon tu inazimishwa alafu ukumbuke,,,,,marekani Hana shida saaana na Iraq saana anawataka wale masapporter Kama China,urusi na wengine ndio ajichumbue nao kairaq nikama ka catalyst [emoji38][emoji38][emoji38]
Nimesikia nimesikia, sasa usiniangushe, nakuomba

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza hivi kuna vita ya kirafiki kama kunavyokuwa na michezo ya kirafiki , maana naona hii vita nikama yakirafiki au kamnda mkuu wa lran amekula mlungula toka kwa america ilivita iwe kama ilivyo kuwa
 
Back
Top Bottom