Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Riport ambayo haijawa comfirmed,Askari 30 wa marekani wamefariki,ila Bado haijawa comfirmed maana marekani wanadai hakuna aliekufa,

Meanwhile baada ya shambulizi Hilo,leo asubuhi General qasseim ndo amezikwa rasmi kijijini kwake.
US hata wakiuwawa wanajeshi 500 hawawezi kukupa idadi hiyo lazima wakupr angalau ten percent, watakuambieni ni wanajeshi 50 tu ili ku save face kutokana na bragging kuwa wao ni superior. Msiziamini hizi stats zao, inawezekana idadi ya casualities ni kubwa kuliko inayosemwa.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Muwe mnasoma na kuelewa. Hapo imeandikwa Iran State TV
Wao wamejuaje wakati hawajaenda kwenye hizo bases

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Aljazeera wana andika hvyo ujue kuna uthibitisho umepatikana ndio maana waka andika hvyo

Pole kwa Machuma Chuma Kuchemka MKUU [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliskika msukuma mmoja akiwa pale chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Haijalishi wawe wamenunua au wametengeneza nachojua wametumia ghalama, hakuna dampo la silaha ambalo watu wananenda kuzoa tu

Hapo chini nimeweka picha ya jeshi la iran

It's Scars
 
Haijalishi wawe wamenunua au wametengeneza nachojua wametumia ghalama, hakuna dampo la silaha ambalo watu wananenda kuzoa tu

Hapo chini nimeweka picha ya jeshi la iranView attachment 1315731

It's Scars
Huyu nyau anafanya Nini hapa????

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama ilikua hv wasingetengeneza machuma chuma yao yakuzuia Ballisitic Missile Wakat Kuna Mahandaki Halaf Ujue Kana Mabomu Ardhi Hata Kama Ina Mlima Inakua Tambarare


US = PAPER TIGER...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…