Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Hukumu ya wanadamu sio hukumi ya Mungu.
Mimi nasema Marekani isiruhusu taifa la kiarsbu kupata nguvu zaidi duniani ni hatari kwa ustawi wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urisi na China hawawezi kuingilia vita moja kwa moja wanajua madhara yatakayowapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiwa mnasubiria Trump aamke sio mbaya mjikumbushe kuhusu Operation Eagle claw

Sent using iPhone
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] Hivyo vi2o anafika saa ngapi kwanza akipiga vituo aka acha kambi zakijeshi ni kazi bure

Kwanza anajua hata vilipo maana ali ingiza drone zakijasusi 2011 zikashushwa

Akaingiza mwaka jana ukashushwa

Labda apige sehem ambazo zipo under unesco maana ndio anazo zijua [emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IRAN: Natangaza jihad kama noma na iwe noma, ama zangu ama zake.

TRUMP: Aisee mi nilijua zile tweets zitawaogopesha kumbe wapo serious? dah hapa sijui nifanyeje, ina maana mikwara yote ile hawaogopi?

CHINA NA RUSSIA: Kaka huu ndio wakati wetu sasa, tumesubiri mno hii nafasi itokee, huyu jamaa katunyanyasa sana, tutumie hii nafasi kaka.

FRANCE and UK: Dah jamaa yetu kabugi sana, yeye nani kwamwambia amuue yule General? anatuweka matatizoni.

NORTH KOREA: Hawa waarabu wanasubiri nini? si wapige kabisa hata Washington kule.

OBAMA: Huyu jamaa anajifanya mjuaji, anafikiri haya ni yale maigizo aliyokuwa akifanya WWE.
 
Huruma ya nn kwan ndege c ime angukwa kwasabbu zake bnafsi mkuu ama ?!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…