Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Hukumu ya wanadamu sio hukumi ya Mungu.
Mimi nasema Marekani isiruhusu taifa la kiarsbu kupata nguvu zaidi duniani ni hatari kwa ustawi wa dunia.
Kama jinsi dola ya Uajemi na Waamedi chini ya mfalme Cyrus ilivyoipiga na kuizima Babylon ya kale, huenda Dola la Uajemi la sasa likaiangusha Babylon ya sasa (Marekani).

Marekani ni Taifa lenye nguvu lakini limekuwa Taifa litendalo ouvu mwingi sana duniani kama vile vita za kuua mamilioni mfano Vietnam, Iraki n. k. Limekuwa Taifa la matendo ya ushoga n. k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urisi na China hawawezi kuingilia vita moja kwa moja wanajua madhara yatakayowapata.
Naona sasa wameamua kutupeleka WW3, IRAN imelipiza kisasi kwa kuvurumusha makombora ya masafa mafupi nchini Iraq dhidi ya Jambi mbili za kijeshi za Marekan zinazohifadhi wanajeshi za NATO..


Kwa ufupi, US na NATO ndio walichokua wanataka.


Russia na China ,hawawez acha Uwekezaji wao nchin Iran uende mikonon mwa NATO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiwa mnasubiria Trump aamke sio mbaya mjikumbushe kuhusu Operation Eagle claw

Sent using iPhone
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
Iran is committing suicide!!
ILI ushinde Vita YEYOTE lazima KWANZA UCHUMI WAKO UHIMILI VITA!
PILI WATU WAKO WAKO UPANDE WAKO!
SILAHA ZAKO NI NZURI ZAIDI ZA ADUI YAKO!
SIFA AMBAZO IRAN HANA!
MUDA UTASEMA KAMA US ATAAMUA KUPIGA VITUO VYA MAFUTA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vi2o anafika saa ngapi kwanza akipiga vituo aka acha kambi zakijeshi ni kazi bure

Kwanza anajua hata vilipo maana ali ingiza drone zakijasusi 2011 zikashushwa

Akaingiza mwaka jana ukashushwa

Labda apige sehem ambazo zipo under unesco maana ndio anazo zijua [emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnaweka nyau, angalieni hii kutoka huko kwa waliowafundisha mbinu za kivitaView attachment 1315777

It's Scars
ANAFANYAJE APA HUYU MJEDA....!?
IMG_20200108_091032.jpg
 
IRAN: Natangaza jihad kama noma na iwe noma, ama zangu ama zake.

TRUMP: Aisee mi nilijua zile tweets zitawaogopesha kumbe wapo serious? dah hapa sijui nifanyeje, ina maana mikwara yote ile hawaogopi?

CHINA NA RUSSIA: Kaka huu ndio wakati wetu sasa, tumesubiri mno hii nafasi itokee, huyu jamaa katunyanyasa sana, tutumie hii nafasi kaka.

FRANCE and UK: Dah jamaa yetu kabugi sana, yeye nani kwamwambia amuue yule General? anatuweka matatizoni.

NORTH KOREA: Hawa waarabu wanasubiri nini? si wapige kabisa hata Washington kule.

OBAMA: Huyu jamaa anajifanya mjuaji, anafikiri haya ni yale maigizo aliyokuwa akifanya WWE.
 
Updates: View attachment 1315760

Sent using Jamii Forums mobile app



--My views---
Ni jambo la kushangaza hakuna hata mmarekani mmoja aliyekuwepo kwenye ndege hiyo lakini washirika wa marekani ndio wapiokuwepo.

Hii maana yake nini!?

Anyway, ngoja kwanza black box ipatikane ili tujue chanzo cha ajali LAKINI kwa akili ya kawaida kabisa hii ni kazi ya CIA na trump administration ili kutafuta huruma ya nchi washirika wa marekani.
Huruma ya nn kwan ndege c ime angukwa kwasabbu zake bnafsi mkuu ama ?!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom