Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Retaliation ya namna hii lazima patachimbika vibaya, maana wote wamejawa na 'ego'..... Marekani hatokaa kimya baada ya shambulizi la moja kwa moja kutoka Iran hadi kwenye jeshi lake. Tunakwenda pabaya
usa hawezi anzisha vita,ataweka tu vikwazo,vita na taifa kubwa la kiislam kama iran,ni kuchafua mashariki ya kati yote,iran atalipua bezi sa usa katika nchi za kiarabu zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mvaa wigi Trump hamna kitu atafanya zaidi ya kulia lia kule twitter

dodge
 
Hizo story 2, wamarekani walikufa wengi Vietnam lakin yeye akasema wachache, so husitegemee taarifa yoyote ya ukwel kuhusu vifo vya wamarekani
Kwa mujibu wa barua ya General ambayo baadaye waliikana inaonekan marekani ilikuwa imeshajiondoa kwenye makambi hayo na kujificha kusikojulikana, husishangae hakuna aliyekufa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wake up mkuu acha kuotoa
 
Dunia inasubiri itangaziwe kamanda atakaenda kuifurusha Iran na kanzu na ndevu zao.

Biashara kubwa kuliko zote duniani Ni biashara ya kutumia au kuuza silaha. Mataifa yametengeneza silaha, yatazitumoa wapi?

Iran zitatumika tu na ndio mwisho wa taifa la kimapinduzi la Iran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump atakuja analia lia tu kule twitter,hawezi kurusha hata risasi 1 kwenda Iran.
dodge
 
Mimi bado nawaza ile pembe ndogo iliyotabiriwa na Nabii Daniel ni ipi? Huwenda labda ile pembe ndogo ndio Iran inachipukia kuiangusha pembe kubwa America...

Ngoja nirudi kwenye maandiko...

Sent using Jamii Forums mobile app
Daniel 7... Ni taifa dogo ambalo halitakuwa miongoni mwa madola manne makubwa yatakayo pambana vita hii haitakuwa iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…