Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Uchambuzi umeenda shule huu
 
Kitabu cha Daniel nmesoma chote hamna kitu sijui ..nmesoma kama historia nimesoma pia kama utabiri ..mambo mengi yaliyoandikwa mule tame/yalitokea...ila kuhusu kuibuka kwa Iran apo uko wrong

Sent using Jamii Forums mobile app
Kingine ni kwamba,Daniel alifasiriwa Ndoto na Malaika,Yohana pia alifasiriwa na Malaika,
Je katika usomaji wako Ni Nani anakuongoza?Ni Roho mtakatifu ama hisia tu kibinaadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran hayo kurusha hayo makombora ni kajitutumua tu ili aonekane karevange ila hamna cha maana alichofanya. Marekani hawezi kurusha mabomu Iran coz kazi yake
kubwa keshaifanya ambayo ni kumuua solemani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makombora aliyorusha hayajaleta Impact ?anachofanya Ni kuahambulia Kambi za Marekani Middle East ,anamdhoofisha kwanza kiuchumi,usishangae Afghanistan, Somalia,Libya,zikatoa tamko Marekani aondoke ktk viunga vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,huyo mleta uzi aelewe pia ni kweli USA ndio baba lao duniani; lakini nani ni allies wa Irani?Hapo ndipo ugumu wa vita unapokuwepo.Mleta uzi ajisumbue kidogo kufahamu Syria na ISIS,nani aliokoa jahazi mpaka sasa hivi Rais Assad anadunda?Irani ni tajiri,je ni akina nani wamewekeza?Watakubali uwekezaji wao uteketezwe kiboya?Irani siyo Iraq,wananchi wanaosapoti nchi yao au?Ajiulize siku ya mazishi ya Quassem Solemain hali ilikuwaje?

Kiukweli USA ana nguvu sana kijeshi lakini ugumu wa vita utakuwa mgumu sana tofauti wengi tunavyofikiri kama huyo mleta uzi tukijumlisha na "other many factors".

Mzee74 (kuzaliwa 1974 sio mzee,acha kujizeesha) hebu mtag Youngstunna apate ka mwanga,maana ameambiwa aache Kuimba taarabu kama watu wa jinsia fulani ya pwani

Youngstunna!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu cha Daniel nmesoma chote hamna kitu sijui ..nmesoma kama historia nimesoma pia kama utabiri ..mambo mengi yaliyoandikwa mule tame/yalitokea...ila kuhusu kuibuka kwa Iran apo uko wrong

Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk Daniel kuna kuanguka kwa marekani Wala sio kuinuka kwa Iran. Amini kwamba marekani anaenda kuanguka muda si mrefu. Utatokea utawala mwingine wa Dunia ambao hautadumu kabisa. Marekani ni mtawala wa mwisho kama taifa. Refer ndoto ya mfalme ya sanamu ya kuchonga. Jiwe lisilotengenezwa kwa kazi ya mikono likaipiga sanamu nayo ikavunjika vipandevipande. Hata mahali pake hapakuonekana Tena!
 
Nyinyi watu wa maandiko sometimes mna sikitisha sana,real issues mnaleta utabiri and so and so,mnanikumbusha sana vituko vyenu vya Y2K mwaka 2000.
 
Nyinyi watu wa maandiko sometimes mna sikitisha sana,real issues mnaleta utabiri and so and so,mnanikumbusha sana vituko vyenu vya Y2K mwaka 2000.
Maandiko ni mambo ya imani. Hujalazimishwa kuamini Km huamini unapita vile, acha wenye imani tuamini! Btw ni maandiko gani ktk Bible yaliyoongelea Y2K?
 
Maandiko ni mambo ya imani. Hujalazimishwa kuamini Km huamini unapita vile, acha wenye imani tuamini! Btw ni maandiko gani ktk Bible yaliyoongelea Y2K?
Ingekuwa forum ya dini wala nisingepata tabu kukuelewa.
 
Maandiko ni mambo ya imani. Hujalazimishwa kuamini Km huamini unapita vile, acha wenye imani tuamini! Btw ni maandiko gani ktk Bible yaliyoongelea Y2K?
Na katika maandiko hayo hayo ni wapi ilipoandikwa USA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…