Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Uzi wa mapenzi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MK254 asante kwa uchambuzi huu mzuri.Kwa jinsi Marekani ilivyo respond,naweza kusema mambo matano yafuatayo:-
1.Makombora 22 hayawezi kukosa kuua askari hata mmoja wa wa Coalition forces )Marekani,Poland,Denmark etc.),askari wao wameuwawa ila Trump anaficha ukweli.
2.Iran imewadhalilisha sana Marekani kwa shambulio hili,na imeonyesha wazi kwamba ni nchi yenye nguvu nyingi za kijeshi na nchi za Mashariki ya Kati na West Asia zinaweza kuitegemea.
3.Iran pia imeonyesha kwamba hata pamoja na vikwazo vingi vya kinyama vya Marekani imeweza kustahimili na kwa hiyo nchi zingine zinaweza kupinga hegemony ya Marekani na zikastawi.Ni mfano mzuri wa kuigwa kwa kweli.
4.Iran imeonyesha dunia kwamba The American Empire is on the decline na kwamba nguvu inazodai inazo haina kwa sasa,ni debe shinda.Ukweli ni kwamba America depends on mercenaries for its' many wars,huku the few soldiers it has wakitumika for logistics and air combat.The truth however is that the Airforce can never win a war,it is soldiers on boots who wins a war.
4.Marekani kwa kusema kwamba hawahitaji mafuta ya Mashariki inaonyesha wazi kwamba sasa ina mpango wa kuondoka Mashariki ya kati.Hata hivyo ni vema ikafanya hivyo haraka kwa kuwa isipofanya hivyo,askari wake watarudi Marekani in plastic bags.Hali ilivyo Mashariki ya kati ni ya hatari sana kwa Marekani na other coalition forces.
5.Kwa missiles hizi ambazo zimeweza kupenya anti-missile systems na missile interceptors za Coalition forces,Iran imeonyesha kwamba ina missile technology ambayo it's no match to Israel and American technologies,kwa hiyo Israel na Marekani sio tishio tena kwake.
Nimalizie kwa kusema Bravo Iran,you are our role model.You have shown that we can stand up against US hegemony, bullying,tyranny and imperialism and win.
Kisome pia kitabu cha Ufunuo Kisha u concludeKitabu cha Daniel nmesoma chote hamna kitu sijui ..nmesoma kama historia nimesoma pia kama utabiri ..mambo mengi yaliyoandikwa mule tame/yalitokea...ila kuhusu kuibuka kwa Iran apo uko wrong
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingine ni kwamba,Daniel alifasiriwa Ndoto na Malaika,Yohana pia alifasiriwa na Malaika,Kitabu cha Daniel nmesoma chote hamna kitu sijui ..nmesoma kama historia nimesoma pia kama utabiri ..mambo mengi yaliyoandikwa mule tame/yalitokea...ila kuhusu kuibuka kwa Iran apo uko wrong
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo Mkuu,hujaamua kuyajua.Mkuu naona umekomaa na utabiri mara siku za mwisho. Haya mambo mnayapata wapi kwenye biblia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makombora aliyorusha hayajaleta Impact ?anachofanya Ni kuahambulia Kambi za Marekani Middle East ,anamdhoofisha kwanza kiuchumi,usishangae Afghanistan, Somalia,Libya,zikatoa tamko Marekani aondoke ktk viunga vyao.Iran hayo kurusha hayo makombora ni kajitutumua tu ili aonekane karevange ila hamna cha maana alichofanya. Marekani hawezi kurusha mabomu Iran coz kazi yake
kubwa keshaifanya ambayo ni kumuua solemani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ukipigiwa ugenini utarudisha vita nyumbani ama unalimalizia huko huko ugenini?bona wanapigana ugenini wavirudishe vita majumbani mwao
Ktk Daniel kuna kuanguka kwa marekani Wala sio kuinuka kwa Iran. Amini kwamba marekani anaenda kuanguka muda si mrefu. Utatokea utawala mwingine wa Dunia ambao hautadumu kabisa. Marekani ni mtawala wa mwisho kama taifa. Refer ndoto ya mfalme ya sanamu ya kuchonga. Jiwe lisilotengenezwa kwa kazi ya mikono likaipiga sanamu nayo ikavunjika vipandevipande. Hata mahali pake hapakuonekana Tena!Kitabu cha Daniel nmesoma chote hamna kitu sijui ..nmesoma kama historia nimesoma pia kama utabiri ..mambo mengi yaliyoandikwa mule tame/yalitokea...ila kuhusu kuibuka kwa Iran apo uko wrong
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi watu wa maandiko sometimes mna sikitisha sana,real issues mnaleta utabiri and so and so,mnanikumbusha sana vituko vyenu vya Y2K mwaka 2000.Ktk Daniel kuna kuanguka kwa marekani Wala sio kuinuka kwa Iran. Amini kwamba marekani anaenda kuanguka muda si mrefu. Utatokea utawala mwingine wa Dunia ambao hautadumu kabisa. Marekani ni mtawala wa mwisho kama taifa. Refer ndoto ya mfalme ya sanamu ya kuchonga. Jiwe lisilotengenezwa kwa kazi ya mikono likaipiga sanamu nayo ikavunjika vipandevipande. Hata mahali pake hapakuonekana Tena!
Maandiko ni mambo ya imani. Hujalazimishwa kuamini Km huamini unapita vile, acha wenye imani tuamini! Btw ni maandiko gani ktk Bible yaliyoongelea Y2K?Nyinyi watu wa maandiko sometimes mna sikitisha sana,real issues mnaleta utabiri and so and so,mnanikumbusha sana vituko vyenu vya Y2K mwaka 2000.
Ingekuwa forum ya dini wala nisingepata tabu kukuelewa.Maandiko ni mambo ya imani. Hujalazimishwa kuamini Km huamini unapita vile, acha wenye imani tuamini! Btw ni maandiko gani ktk Bible yaliyoongelea Y2K?
Na katika maandiko hayo hayo ni wapi ilipoandikwa USA?Maandiko ni mambo ya imani. Hujalazimishwa kuamini Km huamini unapita vile, acha wenye imani tuamini! Btw ni maandiko gani ktk Bible yaliyoongelea Y2K?
Utabiri wenyewe wa uongo, vitabu vya Daniel na Ufunuo vimeandikwa kwa lugha ya picha hivyo kila mmoja hukimbilia humo kutoa tafsiri yake.Nyinyi watu wa maandiko sometimes mna sikitisha sana,real issues mnaleta utabiri and so and so,mnanikumbusha sana vituko vyenu vya Y2K mwaka 2000.
Kamuulize bibi yako hayo maswali yako ya kiku*aWewe ukipigiwa ugenini utarudisha vita nyumbani ama unalimalizia huko huko ugenini?
God save us
Niliyemnukuu aliongelea kitabu Cha Daniel. Ndipo hoja ilipoanziaIngekuwa forum ya dini wala nisingepata tabu kukuelewa.
Ndoto ya sanamu niliyoelezea imetaja vipindi vya tawala za Dunia sio majina ya nchi.Na katika maandiko hayo hayo ni wapi ilipoandikwa USA?