Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Kimbinu mapigo yataelekezwa [emoji117]Yalikotikea makombora NA makao makuu YA walinzi WA mapinduzi [emoji109][emoji109]
Kama ayatola anakaa maeneo HAYO ahame mapema akiwa amevaa baibui [emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana usiku baada ya shambulizi,ndege za marekani Kama sita zikanyanyuka toka UAE kuelekea Iran,
Iran wakatoa onyo kwa United Arab Emirates kuwa endapo hizo ndege zitapiga iran,wao wataupiga mji wa Dubai,baada ya mda sikusikia ndege za marekani kujibu mashambulizi,
Wakati huo Iran ndege zake zishaingia anga la Iraq ,ripoti ya mwisho kabla sijapitiw usingizi Iran wametungua ndege ya marekani karibu na bandar Abbas,Bado sijaconfirm
 
Hayo ndiyo mambo sasa siyo wanaume mnapiga kelele nyingi tena Twitter kama tupo soko la Ngamiani.

Wangapi wameunganishwa kwenye msafara wa Soleiman?
Ngamiani tena😂😂😂
 
Safi sana.
Jana usiku baada ya shambulizi,ndege za marekani Kama sita zikanyanyuka toka UAE kuelekea Iran,
Iran wakatoa onyo kwa United Arab Emirates kuwa endapo hizo ndege zitapiga iran,wao wataupiga mji wa Dubai,baada ya mda sikusikia ndege za marekani kujibu mashambulizi,
Wakati huo Iran ndege zake zishaingia anga la Iraq ,ripoti ya mwisho kabla sijapitiw usingizi Iran wametungua ndege ya marekani karibu na bandar Abbas,Bado sijaconfirm
 
Sasa fikiria Iran amelipa kisasi ndani ya muda mfupi tangu Jenerali wao auwawe huku Marekani ikiwa kwenye high alert na bado kambi zake zikashambuliwa.Hadi hapo huoni tu nguvu ya Iran tofauti na unavyofikiri mkuu?Ulisema Iran hatothubutu ku retaliate Sasa ndo kafanya tayari.
Kwa hiyo marekani hakuziona missiles zikienda kwenye camp zake na kuzizuia?
 
This is being repeated a lot by Middle East journalists: “Tehran told Washington DC through proxies that it will bomb US bases in Iraq to save face and claim it is a response for killing Soleimani. That’s why the USA emptied its bases hours before the attacks. Zero casualties.”

Sent using Jamii Forums mobile app

Zero casualties... means watavurumusha mengine.. si damu kwa damu amaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom