Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana usiku baada ya shambulizi,ndege za marekani Kama sita zikanyanyuka toka UAE kuelekea Iran,Kimbinu mapigo yataelekezwa [emoji117]Yalikotikea makombora NA makao makuu YA walinzi WA mapinduzi [emoji109][emoji109]
Kama ayatola anakaa maeneo HAYO ahame mapema akiwa amevaa baibui [emoji44]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kala vichwa ndo fresh sasahadi sasa hawajasema uharibifu kiasi gani umetokea, yawezekana kala vichwa kiasi tusubiri majibu
Kama Israel atahusika kwa namna yoyote ile, hamna haja ya kumuomba Mungu. Msimamo wake unaeleweka.Jamani tumuombe Mungu
Hivi kuna kambi isiyo na mwanajeshi? baso hizo sio kambi ni Godown za kuhifadhia korosho! Unahani marekani atakubali kusema wanajeshi wake wameuawa??? Siasa nyingi usikute wameuawa ila wanaficha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko ubaruku,lakini nadhani wewe Bado unaishi Karne ya 18Una confirm kutokea mbagala kutoka kwenye westerns media alafu uie upost JF? 😝😝
Ngamiani tena😂😂😂Hayo ndiyo mambo sasa siyo wanaume mnapiga kelele nyingi tena Twitter kama tupo soko la Ngamiani.
Wangapi wameunganishwa kwenye msafara wa Soleiman?
Mimi kama muiran mweusKwahiyo unataka Iran aumarekani wakupe ripoti ya matokeo ya shambulio hilo wewe Kama nani hapo tandale kwa mfuga mbwa?
Taarifa niliyonayo dakika hii Iran wametungua ndege ya Ukraine kwa bahati mbayaUna confirm kutokea mbagala kutoka kwenye westerns media alafu uie upost JF? 😝😝
acha kucheza YOPE uandike vizuri pimbi wewedhidi ya Jambi mbili za kijeshi za Marekan
Jana usiku baada ya shambulizi,ndege za marekani Kama sita zikanyanyuka toka UAE kuelekea Iran,
Iran wakatoa onyo kwa United Arab Emirates kuwa endapo hizo ndege zitapiga iran,wao wataupiga mji wa Dubai,baada ya mda sikusikia ndege za marekani kujibu mashambulizi,
Wakati huo Iran ndege zake zishaingia anga la Iraq ,ripoti ya mwisho kabla sijapitiw usingizi Iran wametungua ndege ya marekani karibu na bandar Abbas,Bado sijaconfirm
Kwa hiyo marekani hakuziona missiles zikienda kwenye camp zake na kuzizuia?Sasa fikiria Iran amelipa kisasi ndani ya muda mfupi tangu Jenerali wao auwawe huku Marekani ikiwa kwenye high alert na bado kambi zake zikashambuliwa.Hadi hapo huoni tu nguvu ya Iran tofauti na unavyofikiri mkuu?Ulisema Iran hatothubutu ku retaliate Sasa ndo kafanya tayari.
This is being repeated a lot by Middle East journalists: “Tehran told Washington DC through proxies that it will bomb US bases in Iraq to save face and claim it is a response for killing Soleimani. That’s why the USA emptied its bases hours before the attacks. Zero casualties.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu unamwita dada alafu unamuuliza kama ni ke au me! Kweli moshi wa makombora ya Iran sio mzuri
Hiyo imeanguka mkuu ilikuwa inatoka Tehran na ni wakati inapaaTaarifa niliyonayo dakika hii Iran wametungua ndege ya Ukraine kwa bahati mbaya