Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Ushimen Marekani amendoa wananchi wake tu huko Iraq ila wanajeshi wake wapo kama kawaida na ndiyo kwanza wamewaongeza ili kujiandaa kivita, unafikiri Marekan ataweza kuliondoa jeshi lake Iraq? Ili amkabiri Iran akiwa nchi gan ikiwa Saudia ana maslah yake lukuki!
Marekani hakutarajia kama ngome zake zinaweza kufikiwa na makombora Iran, hvi unafikiri hakukuwa na mifumo yakujilinda makombola hapo? Yapo lakin ndo hvo mvua zimepita.
Marekani watutangazie tu wanajeshi wangapi wamekata kamba kama walivyo muua jenerali wa iran.
What if marekan kaachia makusud ili kujipa sabab zaid ya kumtandika iran,nayeye iran kaingia kwenye mtego

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi Bado nafuatilia kucomfirm Kama F-35 ilipigwa Jana ikijaribu kuingia Iran baada ya shambulizi
Iran ni moja ya nchi zenye net kali sana kwenye anga lao! Marekani hajawahi piga na nchi yoyote yenye ulinzi wa anga ambao tunaweza ufananisha na wa Iran!

Technology ya ulinzi wa anga apa ndio itajulikana umuhimu wake! Na ikumbukwe visima vya mafuta vya Saudi Arabia vilionyesha udhaifu wa mifumo ya ulinzi ya US !
 
Kati ya wanaume wa kiislam/kiarabu,waliobaki kwa sasa duniani ni irani pekeake, hata kupiga hayo makombora 15 ni ujasiri wa hali ya juu,ukiondoa russia,china,na north korea,,hakuna mwingine anaeweza kulipa kisasi,hata kurusha risasi moja kwenye himaya ya USA. Iran imewaonya majirani zake wote,ambao wamemkubalia usa kuweka ,,base,, zake,kuwa watakuwa target ya kwanza kushambuliwa.

SWALI: Je, mataifa ya kiarabu yako tayari,raia wake wafe,majengo marefu yaporomoshwe na makombora ya iran,amani ichafuke na uchume uyumbe,kwa ajili ya maslahi ya USA? ili hali huko usa raia wake wanastarehe hawana bugdha yeyote. Beira Boy,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ame confirm ni kweli nimewapiga makombora.

Hajaficha ficha wala nini.
Kuna pro US walisema Iran hawezi ku retaliate lakini amefanya hivyo ndani ya muda mfupi tena huku vikosi vya Marekani kote duniani hususan Iraq vikiwa kwenye high alert.Iran sio wakumbeza ana nguvu kubwa kijeshi na kiteknolojia

dodge
 
Hiv hawa wa Iran ndio Mashia ama ni wa Iraq?
Jana usiku baada ya shambulizi,ndege za marekani Kama sita zikanyanyuka toka UAE kuelekea Iran,
Iran wakatoa onyo kwa United Arab Emirates kuwa endapo hizo ndege zitapiga iran,wao wataupiga mji wa Dubai,baada ya mda sikusikia ndege za marekani kujibu mashambulizi,
Wakati huo Iran ndege zake zishaingia anga la Iraq ,ripoti ya mwisho kabla sijapitiw usingizi Iran wametungua ndege ya marekani karibu na bandar Abbas,Bado sijaconfirm
 
Back
Top Bottom