Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Acha kupoteza mda America hana uwezo wa kujibu
NINGEKUA mshauri wa Wizara ya ulinzi na majeshi ya Iran ningewashauri wasihangaike na marekani sijui washington au Newyork, watumia technique hyohyo.... Yeyote anaekubali marekani aitumie ardhi yake kuishambulia Iran basi achakazwe mpaka akome..... Hivyo visima vya mafûta vya saudia vipigwe mabomu ya kutosha!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran wapuuzi

Ebu fikiria wametumia mabilion ya dollar kununua silaha halafu wanapiga off target?
View attachment 1315630

It's Scars
Off target ndiyo nini mkuu maana trump kasema wamekufa wanajeshi wa 2 na wengine wapo kwenye hali mbaya sana.na huyo ni trump ambaye hawezi akaongea ukweli kabisa, inamaana ukweli unaweza kukuta hata 20 wamekufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah we jamaa bana ujue unaongea na watu wazima lkn?

BBC, French 24?

Hahah nimesikia uvivu hata kuendelea kukujibu mzes baba.

BBC, French 24, TRT World, Africa news, TVGE, na vingine kibao.
.
Fatilia nini kilifanya RT - UK RT -america, RT - FRANCE na RT - Arabic vianzishwe ukipata jibu jaribu kuitazama RT - International ni FTA kabisa 24Hrs ni habari za America america america.
.
Muda huu saa 10:15 ni habari kuhusu PM wa Iran kunyimwa visa na maandamano ya baghdad
Screenshot_2020-01-08-10-19-55-1.jpeg


dodge
 
IRAN kama anataka kupigana hii vita ajue kabisa yuko peke yake.

MRUSI naye ni Mafia tu aka mfanyabiashara haramu wa silaha hana msaada wowote, Anachosubiri Mrusi ni vita ichanganye IRAN iparaganyike ziibuke kambi za makundi ya kigaidi ndani Iran then mipaka yote ukanda ule kuanzia Irani, Iraq, Syria mpaka Libya iwe wazi na kuruhusu movement za wahuni na uwanja wa kutestia teknolojia. Makundi yakigaidi yakiwa Mengi huwa ni faida kwa Mrusi maana anauza silaha hatari lakini pia anapata muda wa kufanyia majaribio silaha zake..

Waarabu wasipokuwa makini na hii vita ya IRAN, Eneo zima hilo litanuka damu maana IRAN hawezi kuziacha salama SAUDIA, IRAQ,KUWAIT,QATAR NA UAE. na ikifikia hapo ndio iakuwa fursa kwa mamafia wa dunia kuuza silaha kwa njia halali na haramu.. Madege ya Kirusi yale maantonov ya mizigo yatafanya kazi mno pamoja na bahari kuwa busy na wafanya biashara haramu za silaha, nifursa pia kwa wauza vyakula maana hilo eneo linaweza kuwa No fyl zone area na itakuwa only survival of the fittest. Naiona pia Yemen ikegeuka kuwa U-turn na parking yamuda ya madege na manowari za kivita huku jamaa zangu wa chini kwa chini kutokea Yemen wakipenya sana Saudia na wapiganaji wengi wa kisomali kutokea kismayu na Mogadishu sasa wakiwa huru kukatiza ukanda ule kuelekea Iran na Iraq kupitia Yemeni ( Fursa pia kwa Wabongo wenzangu wasioogopa kuuza roho kujitoa kwenda kuwa wapiganaji au kupeleka vyakula, sigara, maji, illegal human traffickers, nk wazee wa bahari wanajua hili)
 
Fursa mpya ya wasafirishaji watu baharini kwenda ulaya..

Fursa pia ya kusafirisha matajiri na familia zao kutoka Iran kwenda sehemu mbalimbali za dunia na hela zao.
 
Back
Top Bottom