Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Kumbe Hawa iraq hawajaua bro alafu wanajisifu tu hovyo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]dah
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Iran wewe ni mwanangu wa muda mrefu sana huwa nakutetea sana lakin siku hizi umekua muoga wa waoga sana aisee

Yaan kamanda mkuu wa jeshi kauwawa alafu wewe unaenda kulipiza kisasi kitoto toto tu

Yaani upapiga off target katika kambi za America huko Iraq sasa ndo nini sasa

Ua hata wanajeshi 50 basi

Siyo unaenda kulipa kisasi hujaua hata mmoja alafu unajisifu hapa

Umeniangusha sana mwanawane Iran


LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imedhiirisha Iran wapo vizuri. Halafu kumbuka western media hawawezi sema kama makombora hayo yameondoka na roho za wamarekani, ila kwa taarifa kutoka non-western media death toll imefika 80.
Nimeshangaa sana kuona makombora ya Iran yamewezaje kupenya defence system za Marekani haijalishi hayajaua mtu lakini kitendo cha kupenya defence system kimewashangaza sana hata wao wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran onba msaada kama vipi maana huku una wafuasi wengi wanakuunga mkono, kama hujala vichwa vyakutosha kwa america basi wana huku wanasikitika sana , nadhani wapo tayari kuongeza nguvu kwako lran
 
Nadhani mpk sasa hivi watakua wameshaelewa Iran uwezo wake kwny medani ukoje.

Dunia nzima nikiangalia ni nchi ngapi zinaweza kufyatua makombora kwenda kwny kambi ya kijeshi ya US aisee hata 5 zinaweza zisifike.
Watu hawajuwi kuwa marekani tangu aanze kuvamia vamia nchi hajawahi kutana na nchi yenye uzito wa Iran!

dodge
 
Kumbuka general Suleiman alikuwa hana mtoto mwingine zaidi ya huyo binti mmoja. Ni mtoto wa kipekee wa Suleiman. Ndio maana alipewa hiyo nafasibya kuhutubia

Halafu trump anaongea tuu blah blah sometimes. Pentagon hawawezi kubali kupiga cultural sites..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa freedom of women's speech in Iran started after usa eliminated Soleiman!

Big up Trump.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] Beira Boy, Mpaka Kambi Ya US Inashambuliwa Ujue Kwamba Us UIle Mifumo Yao Yamachuma Chuma Ni BuTu

Na kama ingekua off target Wasingesema Kama Kambi Zimeshambuliwa

Na kama kambi zinashambuliwa haiwezekani asife hata mlinzi


Poleni Sana Asee Maana Mmeumia Mbaya Mnooo [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji14][emoji14][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapi wametangaza kwamba kwamba hakuna vifo, maana trump kasema ukaguzi unafanyika which means hawajui kama kuna vifo au la, sasa wewe umepata wapi data zako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapenda vifo eeeh? Iran sio wajinga kama unavyodhani boss hawatacheza karata nyeusi hiyo. Wanachofanya ni defense not offense. Wanajua wakiua wanajeshi au raia wa marekani kwa silaha watakua wameingia kwenye vita kamili. Na lazima ujue hapa kuna uhalisia na propaganda wewe chagua utakula kipi lakini nikuhakikishie kungekuwa na vifo vya wanajeshi wa US kwenye hili shambulio la Iran tungekuwa na WW3 tayari asubuhi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ana mambo mengi ya kushughulika nayo...tusimbebeshe majukumu yasiyomhusu ambayo chanzo ni wanadamu!
 
Back
Top Bottom