Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuniambia israel naye hayupo tayar kumsaidia US acha kujidanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
US=PAPER TIGER
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Iran wewe ni mwanangu wa muda mrefu sana huwa nakutetea sana lakin siku hizi umekua muoga wa waoga sana aisee
Yaan kamanda mkuu wa jeshi kauwawa alafu wewe unaenda kulipiza kisasi kitoto toto tu
Yaani upapiga off target katika kambi za America huko Iraq sasa ndo nini sasa
Ua hata wanajeshi 50 basi
Siyo unaenda kulipa kisasi hujaua hata mmoja alafu unajisifu hapa
Umeniangusha sana mwanawane Iran
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshangaa sana kuona makombora ya Iran yamewezaje kupenya defence system za Marekani haijalishi hayajaua mtu lakini kitendo cha kupenya defence system kimewashangaza sana hata wao wenyewe
Uwezo wa kujibu anao ila anaangalia maslai yake. Watu mnafananisha mavi na mkojo aisee? Embu iran kama ni mwanaume apige kitu pale marekqni muone nini kitatokea
Sent using Jamii Forums mobile app
The ball is on USA court.Mkuu Mlitaka IRAN Ajibu Kaishajibu HUKO Mnasemaje ?! No War In Mido Ist Hasa Hii Inayohusu IRAN na US Kwasasa
US =PAPER TIGER.[emoji12][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawajuwi kuwa marekani tangu aanze kuvamia vamia nchi hajawahi kutana na nchi yenye uzito wa Iran!
Kumbuka marekani pia kuna baadhi ya nchi za kiarabu ambazo yuko na urafik nazo kama Emirates, Iraq,misri
Hao hamna lolote hata iraq walikuwa na nguvu zaidi ya wao sasa hivi wako wapi,marekani ndo inakimbiza bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa freedom of women's speech in Iran started after usa eliminated Soleiman!Kumbuka general Suleiman alikuwa hana mtoto mwingine zaidi ya huyo binti mmoja. Ni mtoto wa kipekee wa Suleiman. Ndio maana alipewa hiyo nafasibya kuhutubia
Halafu trump anaongea tuu blah blah sometimes. Pentagon hawawezi kubali kupiga cultural sites..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazoea yanaponza.Mbona iran ilishawahi kuua wanajeshi 300 wa US kule Lebanon na US haikufanya kitu?
dodge
Mazoea yanaponza.
Mkuu unapenda vifo eeeh? Iran sio wajinga kama unavyodhani boss hawatacheza karata nyeusi hiyo. Wanachofanya ni defense not offense. Wanajua wakiua wanajeshi au raia wa marekani kwa silaha watakua wameingia kwenye vita kamili. Na lazima ujue hapa kuna uhalisia na propaganda wewe chagua utakula kipi lakini nikuhakikishie kungekuwa na vifo vya wanajeshi wa US kwenye hili shambulio la Iran tungekuwa na WW3 tayari asubuhi hii.Ni wapi wametangaza kwamba kwamba hakuna vifo, maana trump kasema ukaguzi unafanyika which means hawajui kama kuna vifo au la, sasa wewe umepata wapi data zako?
Sent using Jamii Forums mobile app