Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Hapana sio kama wiki kama wiki ya kawaida, huu ni muda wa kiunabii, ambao siku moja nisawa na Mwaka mmoja.

Hapa kuna majuma 70 ..... Yakagawanya ktk majuma 69 ya kwanza..na Juma LA mwisho linaloitmisha 70..

Ni somo refu Mkuu ...mpaka nitulie nikueleze kwa ufasaha.


Ila nimambo ambayo ukiyajua , ukasoma Biblia vzuri, huwez shangaa nakinachoendelea leo Duniani.
Mistari gani kwenye bible niipitie?
 
BBC, French 24, TRT World, Africa news, TVGE, na vingine kibao.
.
Fatilia nini kilifanya RT - UK RT -america, RT - FRANCE na RT - Arabic vianzishwe ukipata jibu jaribu kuitazama RT - International ni FTA kabisa 24Hrs ni habari za America america america.
.
Muda huu saa 10:15 ni habari kuhusu PM wa Iran kunyimwa visa na maandamano ya baghdad
Sio PM Minister Ni FM Minister

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu vingine vinachekesha kweli yani roketi zaidi ya 10 hawajaua hata mtu mmoja?Hii ni aibu.Kwa taifa lenye nguvu ya kivita Tungeshajua mpaka sasa wanajeshi 120 wa marekani wamefariki huku wengine 60 wakiwa hawajitambui.Sasa wao hata 1 wameshindwa kuua.

Sent using Jamii Forums mobile app
We boya kweli Trump mwenyewa kakili kuna wanajeshi wameuawa wewe mtu wa manzese una sema hakuna aliye fariki.
 
IMG_20200108_120511.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Senator Graham kampigia simu Trump na Trump kamwambia kuwa watashambulia Visima vya Mafuta ya Iran ili kukata mrija

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran is committing suicide!!
ILI ushinde Vita YEYOTE lazima KWANZA UCHUMI WAKO UHIMILI VITA!
PILI WATU WAKO WAKO UPANDE WAKO!
SILAHA ZAKO NI NZURI ZAIDI ZA ADUI YAKO!
SIFA AMBAZO IRAN HANA!
MUDA UTASEMA KAMA US ATAAMUA KUPIGA VITUO VYA MAFUTA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom