Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Magaidi hawana haki. Washughulikiwe bila hurumaYani kama hizi ndio hoja zako aisee basi ni dhaifu sana mkuu.
Kwahiyo kisa kuuawa kwa WaTanzania wawili haki ya WaPalestina haina maana tena!?
Mbona France ilipoteza embassy officials wawili?
Ila nayo imetoa tamko kuwa two states solution ndio njia sahihi?
Lakini kaka yake Netanyahu alifia Uganda!! Shida ni kuzaliwa Israel au kuwa na utaifa wa Israel??!Na Rabin akauliwa mwaka 1995.
Aliemuua alikuwa ni myahudi mwenye msimamo mkali alieitwa Yigar Amir ambae alikuwa hakubaliani na mikataba ya Oslo.
Yitzhak Rabin ndie mpaka sasa waziri mkuu pekee alieiongoza israeli ambae amezaliwa Israeli.
Benjamin Netanyahu hajazaliwa Israeli.
Mijadala kama hii ni lazima mtu kwanza utulie uchambue kisha umwage madini.
Wewe jamaa ni kichwa hauna akili kabisa takataka huyuNi jambo zuri, ila makafiri wanapaswa kuondoka mazima ile ardhi sio yao ni wakimbizi, warudi europe.
Magaidi wanatumia wanawake na watoto kufikisha agenda zao za kidiniMagaidi hawana haki. Washughulikiwe bila huruma
Kwani hujui kuwa ramani ilichorwa 1947!?Hizo nchi Zina shida unapoitbua Palestina kama nchi mopaka ya nchi ya Palestina inaanzia wapi Hadi wapi?
Nafikiri walichokitambua ni bendera ya Palestina
Nchi ya Palestina haipo unatambua Nini?
Lete ushahidi kuwa wamepewa na Mungu!?Hao waarabu wa Palestine waletwe Africa ..mbona kubwa tu wapewe eneo waishi wazaane kama vipanya pale Israel wataendelea kuwamaliza taratibu maana lile ni eneo lao wamepewa na Mungu
Sawa muyahudi wa chamwino😀😀😀😂Hata kama dunia nzima itakuwa kinyume na israel. Israel haitatereka, stili ina uwezo wa kuzinyuka nchi kiherere kuwa kinyume nazo. Si ajabu dunia kuwa kinyume nayo. Daima israel itasonga mbele
Ushahidi upo wazuri mkuu baba Yao Ibrahim alipewa eneo lile kitambo tu kasome maandiko na hata kitabu chao kitakafu Hawa Kobaaz kimeoneaha kabisa. Huku Africa kuna mapori ya kutosha ardhi kubwa waletwe tu wakae huku wazaane wawe wengi Tena😂😂😂Lete ushahidi kuwa wamepewa na Mungu!?
Kasome BibliaLete ushahidi kuwa wamepewa na Mungu!?
Nioneshe ushahidi wa kuwepo nchi ya Israel kabla.Kasome Biblia
Walitolewa na Mungu utumwani Misri akawakabidhi nchi hiyo ya Israel yote
Jamaa katoa point. Na anakila sababu za kuitambua Palestina, kwa sababu wao wenyewe walikuwa katika tatizo kama hilo. Na wakaiomba dunia kuitambua nchi yao, yakatokea. Leo na zamu ya Palestina, wanajisikia kuwa na deni la kufanya hivyo, tena wanajisikia kuwa wamechelewa sana.Hahahaha hata fahamu unachokitea 😃
View: https://x.com/sarabahaa94/status/1793246326219493666?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mie muislam,Uislam unaeleza wana wa Israel banuu israyil na walikaa ukanda wa bahari ya Sham na Jerusalem.Ushahidi upo wazuri mkuu baba Yao Ibrahim alipewa eneo lile kitambo tu kasome maandiko na hata kitabu chao kitakafu Hawa Kobaaz kimeoneaha kabisa. Huku Africa kuna mapori ya kutosha ardhi kubwa waletwe tu wakae huku wazaane wawe wengi Tena😂😂😂
wapelekwe congo mashariki kwa walendu na wahema wataivana hukoHao waarabu wa Palestine waletwe Africa ..mbona kubwa tu wapewe eneo waishi wazaane kama vipanya pale Israel wataendelea kuwamaliza taratibu maana lile ni eneo lao wamepewa na Mungu
Huku wasije watatuletea balaa la ugaidiHao waarabu wa Palestine waletwe Africa ..mbona kubwa tu wapewe eneo waishi wazaane kama vipanya pale Israel wataendelea kuwamaliza taratibu maana lile ni eneo lao wamepewa na Mungu
Babu yenu kibaka kachanganyikiwa tangu jana kusikia habari hizi wanabweka tu kila saa yupo kwenye tv haamini anachokiona na bado huu ni mwanzo tu wa anguko lakekwa hiyo mipaka yake ni ipi hiyo palestina, au from the river to the sea? kwasababu eneo kubwa la pale wamejaa wayahudi. hata westbank ni Mkoa wa Israel wao huwa wanaida JUDEO SAMARIA, na kuna wayahudi zaidi ya 600,000 wana makazi kule na wanaendelea kujenga. mipaka ya Palestina ipo wapi? au hawa spain na wengine wanatafuta tu kujifurahisha. na huwezi kuingia Judeo samaria au hata Gaza bila kuomba visa Israel. hata wafanyakazi wa UN gaza wanaomba visa Israel.
Wagalatia wengi sana HAWAPENDI kinachoendelea Gaza. Wapo wachache punguani wasio na uelewa ndiyo wanaoshabikia huo unyama unaofanyika huko. Niweke wazi mimi binafsi ni Mgalatia na ninapinga wanachofanya Israel.Usiingize raia wengi kwa ujinga wenu wa maarifa wa ninyi wachache.
Sema ninyi wagalatia ndio mnashabikia vita dhidi ya Palestina.