Ndio nimeishia nyumba kwenye msingi mwaka wa tano huu..!
Hii pisi balaaa
Hili gauni alilovaa tajiri unyoya linathamani ya 15 million!View attachment 2199989
Utafutaji wa pesa mkuu ili siku niweze kumzagamua huyo tajiri unyoya.Vp mkuu upo kimya sana huku jukwaani!
Mie hiyo sio muhimu kwangu...muhimu kwangu nikuona hilo bodyTajiri unyoya jana vinywaji viligharimu 70 millions
Wanawake uwa wanazaliwa na mitaji usijiulize sana.uwa najiuliza hii pisi inapiga mishe gani mjini hapa