kookaburra
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 563
- 1,416
Huo ndiyo ukweli, hakuna utajiri bila juhudi, jitihada na maarifa na bidii ya kufanya kazi!Waoh hawajazuia ww kwenda, Ila wametoa masharti Yao, mbona jamaa wameweka na facts kabsa.
Jaribuni kuwa waelewa. Wala hamna wanaotishwa, ni hivi ukienda huko Sisi tunaamin umepotea hakuna utajiri bila kazi,
Ya mwisho inaitwa sadaka ya KUJIMALIZA! 😂 😂 😂Mwamposa anatoza sadaka nyingi si mchezo.
Hadi ana categorize watu wenye elfu 50 wataanza watamalizia wa elfu 5 kudadadeki
Kumbe mnamfatilia kimya kimya???!!Ya mwisho inaitwa sadaka ya KUJIMALIZA! 😂 😂 😂
Wajinga wanatoa Hadi nauli za kurudia majumbani wanakosa!
Mfano Abood eti!?Siyo kweli, muislam akienda kwa mwamposa halafu akarudi msikitini hafukuzwi.
Kanisa katolili ni kanisa lililojaa utajiri wa sala na novenaRC kanisa kuuubwa ila hawana nguvu za MUNGU. Wao ni porojo tu hata uwapelekee mgonjwa wa Mafia HAWAWEZI kumuombea.
Wanasubiri uumwe, uzidiwe wakupe sala ya mwisho kama PENGO alivyomfanyia Magufuli 17/03/2021.
YAANI WANAVAA MAMISALABA MAKUBWA ILA UPAKO ZERO.
ACHENI WIVU.
Hili povu..mtabaki watatu kanisani wewe baba paroko na sisita.Tatizo mmekurupuka, eti wanahama! RC hawahitaji watu wa namna hiyo ndio maana inawasidia kuhama. Kama ulikuwa unadhani muumini kuhama RC inaleta shida kwa Kanisa, basi umejidanganya. RC usiposimama katika mafundisho yake huwa hawasubiri uwatangazie umehama, wanakuhamisha mapema kwa kukufungia sakramenti ili ukashiriki huko unakojua. Atakayejisikia kutaka kurudi ni lazima akiri imani Kanisani, tena sio kwa Padri, ni katika misa mbele ya waumini wengine. Kwa hiyo hameni tu, tutawasaidia kuhama kwa kufunga sakramenti
KWANINI CHARISMATIC WALIJITENGA NA NYINYI MLIOPOA KIROHO.Kanisa katolili ni kanisa lililojaa utajiri wa sala na novena
Waumin wakatoliki wanapokuwa na shida au wanapokuwa wanahitaji maombezi kuna njia huwa wanazitumia kufikisha taarifa kwa paroko au padre, kupitia jumuiya ndogo ndogo. Wagonjwa wanaponywa , wenye kuomba kazi wanapata wenye kuomba mke/mume wanapata ni vile tu watu walio nje ya ukatoliki huwa wanahisi kwamba Mungu yupo huko kwao tu ila kwa wakatoliko hayupo. Huwa mnajidaganya
Tunapokea shuhuda nyingi mno ambazo wakatoliki hutendewa kupitia EKARISTI TAKATIFU(mwili na damu ya Yesu Kristu) mlio nje ya ukatoliko hamuwezi kuelewa au kujua hicho kitu
Kama wakatoliki wangekuwa ni watu wa kupanda majukukwani kutoa ushuhuda nahisi hata muda usingetosha, vile tu hatunaga muda wa kuoanda majukwaani kutoa ushuhuda. Utaratibu wetu ni huu kama Mungu amekutendea basi unaalikwa kutoa sadaka yako ya shukrani au Misa ya shukrani kadri utakavyoguswa .
Shida kubwa tulioyonayo binadamu ni kuwa huwa tunapenda Mungu atende ile miujiza ya kwenye Biblia , yaani kichwa kinauma hapo hapo kipone tumbo la uvimbe linauma hapo hapo ukiombewa lipone, its okay lakin njia za Mungu za utendaji wake wa kazi ni nyingi, walokole wanampangia Mungu namna ya kufanya kazi. Kwamba wanataka atende hapo hapo na kama ingekuwa hivyo huyu Mungu asingeruhusu watu kusoma udactari ili unapoumwa kichwa au tumbo Mungu huyu akuponye kupitia kwa madactari.
Kwaio Ndugu zangu tusimpangie Mungu njia za kutenda kazi , ndo maana kanisa katoliki lipo wazi kabisa ,hata haya matatizo ya umaskini ambaya kwa kiasi kikubwa ndo yanawakimbiza watu kwenda kwa Mwamposa na kwa waganga wa kienyeji si kwamba hawayajui wanayajua ndo maana kila siku kanisa linajitahid linawahimiza kusoma linajitajid kusomesha watoto wenyw mazingira magumu, linajitahid kuelea watoto yatima linajitahidi kwa kila hali na mali kuwajali wagonjwa na wote waliokatika mazingira magumu,(kuwafariji) linaelewema maana mavuno ni mengi lakin watenda kazi ni wachache
Imani yako ndio itakayokuponya, kama unaamin katoliki si kanisa bora kwako hata uende wapi kama huna imani bado kwako utakuwa ni mtu wamasononeko tu.
Point mkuuHili povu..mtabaki watatu kanisani wewe baba paroko na sisita.
Rc hakuna mwamko wa kiroho..kuna mafundisho ya kukariri vikongwe vya zamani vilivyokufa vya warumi..wanavyo viita vitakatifu na viwaombee.
#MaendeleoHayanaChama
Na wewe acha unafiki..hao waumini walikuja kwako uwasaidie nauli ya kurudi makwao.?Ya mwisho inaitwa sadaka ya KUJIMALIZA! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wajinga wanatoa Hadi nauli za kurudia majumbani wanakosa!
38 Hapo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako.Lkn hakuna nguvu ya Mungu,hatuoni nguvu ikidhihirishwa ili kuwafungua watu km neno la Mungu linavyosema!
Sawa mkuu. Umeshakanyaga mafuta lakini? Keki je?Hili povu..mtabaki watatu kanisani wewe baba paroko na sisita.
Rc hakuna mwamko wa kiroho..kuna mafundisho ya kukariri vikongwe vya zamani vilivyokufa vya warumi..wanavyo viita vitakatifu na viwaombee.
Ndiyo walikuja kwangu kuomba nauli na Kula na kulala baada ya kushinda juani!Na wewe acha unafiki..hao waumini walikuja kwako uwasaidie nauli ya kurudi makwao.?
Kama huna hoja kaa utulie.
#MaendeleoHayanaChama
ACHA upuuzi Wewe suruali fupi...Ukristo ni dini ya kikanjanja.. kanisa linakubali ushoga..!
Kitendo cha ku reply kwa kuandika kwa herufi kubwa ukidhani kwamba ndo reply yako itaonekana inadhihirisha wewe ni mtu wa aina ganiKWANINI CHARISMATIC WALIJITENGA NA NYINYI MLIOPOA KIROHO.
HEBU TULIA. WENZIO TUMESOMA SEMINARY, TUNAIJUA RC NDANI NJE
UNAELEWA KIKUNDI CHA CHARISMATIC NDANI YA RC???
This is rubbishLkn hakuna nguvu ya Mungu,hatuoni nguvu ikidhihirishwa ili kuwafungua watu km neno la Mungu linavyosema!