Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Wawakataze hata kuangalia tv ya Mwamposa kama wataweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekula kwako wewe unayepeperushwa kwa mafundisho mchanganyiko.Wamechelewa Sanaaa
Zama hizi sio zile,makanisa yenyewe yalikuwa machache, sshv makanisa kibao,watumishi wa Mungu kibao kwenye redio,TV huko mafundisho kila kona!
Imekula kwao
Toa mfano??Mwamposa ni mtume hata waislamu wanamfata na wameikana dini yao ya majini
Hongera sana kwa moyo wako wakujitolea kuwasaidia.Ndiyo walikuja kwangu kuomba nauli na Kula na kulala baada ya kushinda juani!
Jukwaa huru, where we dare to speak openly, hulazimishwi kukubaliana NAMI!
Hapa inabidi kanisa lifunge cctv cameras kwenye sebure za waumini..ili kufuatiria nyendo zao...hasa utazamaji wa tv.Wawakataze hata kuangalia tv ya Mwamposa kama wataweza
Wanaendaga wapi?Na RC HUWA hawatanii utasikia na ukifa hatukuziki hata kama mkisafirisha hatuwapi barua ya utambulisho huko muendako.
Kweli mkuuHakwenda kutafuta walio na afya Bora isipokuwa kwa wanao hitaji uponyaji wa kweli. Unamzuiaje mgonjwa asiende kwa daktari? Sio vyema kuzuia wahitaji wanapo hitaji unafuu.
Tafsiri ya neno dini unaifahamu? ( Mimi ndimi njia ya kweli na uzima, mtu haendi kwa baba mpaka apite kwangu.) Mimi nasema Mungu anayo dini.Mungu hana dini
Ingawa nina mashaka na Mwamposa. Lakini Kanisa Katoliki ndo ile njia pana wapitayo wengi kuelekea hukooo....Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
View attachment 2236071
View attachment 2236072
Nyota na mwezi umezisahau mkuu.Ingawa nina mashaka na Mwamposa. Lakini Kanisa Katoliki ndo ile njia pana wapitayo wengi kuelekea hukooo....
Mafuta ya upako, maji ya upako, vitambaa na vikorokoro hivyo kuna tofauti gani na zile sanamu wanazozipigia magoti?
Boriti na kibanzi
Hee, yaani unasema unalielewa RC ndani nje wakati unasema Charismatic walijitenga? Ni kweli unaelewa hivyo au itoshe kusema hauelewi? Sasa sikia, Charismatic ni Chama Cha Kitume ndani ya Kanisa Katoliki kama vyama vingine vya Kitume, mfano Legio Maria, Moyo Mtakatifu wa Yesu, Kolping, UWAKA, WAWATA, VIWAWA, Utoto Mtakatifu nk. Sasa sijajua walijitengaje wakati condition mojawapo ya kuwa mwanachama wa Charismatic ni kuwa Mkatoliki! Nahisi unasimuliwa, na unajidanganya kwamba kusoma Seminari ndio kuujua Ukatoliki. Hata JK alisoma shule ya MissionKWANINI CHARISMATIC WALIJITENGA NA NYINYI MLIOPOA KIROHO. HEBU TULIA. WENZIO TUMESOMA SEMINARY, TUNAIJUA RC NDANI NJE. UNAELEWA KIKUNDI CHA CHARISMATIC NDANI YA RC???
Umezaliwa lini wewe? Father Nkwera unamfahamu na kilichompata ndani ya RC?Hee, yaani unasema unalielewa RC ndani nje wakati unasema Charismatic walijitenga? Ni kweli unaelewa hivyo au itoshe kusema hauelewi? Sasa sikia, Charismatic ni Chama Cha Kitume ndani ya Kanisa Katoliki kama vyama vingine vya Kitume, mfano Legio Maria, Moyo Mtakatifu wa Yesu, Kolping, UWAKA, WAWATA, VIWAWA, Utoto Mtakatifu nk. Sasa sijajua walijitengaje wakati condition mojawapo ya kuwa mwanachama wa Charismatic ni kuwa Mkatoliki! Nahisi unasimuliwa, na unajidanganya kwamba kusoma Seminari ndio kuujua Ukatoliki. Hata JK alisoma shule ya Mission
Mbona unatapatapa? Father Nkwera ni Charismatic? Mambo ya kujidai mjuaji kumbe kichwani hamna kitu. Tafuta taarifa sahihi uje na uongo mwingine. Taarifa ninayokupa ni kwamba Charismatic Catholic ni chama cha kitume na kipo karibu katika kila Parokia ya Kanisa. Sasa ndio ujue unaungaunga kutokana na kusimuliwa na wachungaji wanyakyusa, eti Father Nkwera ni Charismatic, eti Charismatic wamejitenga! Hujui lolote na ndio maana nahisi ulifeli kidato cha nneUmezaliwa lini wewe? Father Nkwera unamfahamu na kilichompata ndani ya RC?
Tuanzie hapo kwanza.
Aisee, nakusubiri uje na utetezi wako kwamba Father Nkwera ni Charismatic na kwamba Charismatic walijitenga na Kanisa Katoliki. Naona bado unapiga simu kuulizia. Lazima kieleweke, tukomeshe wapotoshaji. Unakuta kajamaa kamesimuliwa huko, kanakimbilia kuja kupost, njoo ujibu huku, kata simu hiyoFather Nkwera unamfahamu na kilichompata ndani ya RC?
Tuanzie hapo kwanza.
Ata RC si wana maji ya Baraka,mbona amuhoji?Na hile Rozali si inauzwa,ni ya nini?Padri anasuluhisha mgogoro wa ndoa wakati yeye ni Bachelor!,mbona hamuhoji?Hata babu wa Loliondo naye alijaza maelfu ya watu kule Kijijini kwake! Lakini mwisho wa siku ukweli ulijulikana.
Kanisa Katoliki lina haki ya kuwaelimisha waumini wake juu ya hawa Matapeli wanaouza maji, sabuni, vitambaa, chumvi, nk kwa bei ya kulangua! Eti kwa kigezo yana upako! Huu ni wizi wa asubuhi.
Mtu anadanganya kuleta utajiri kwa miujiza! Hakuna utajiri wa aina hiyo. Utajiri unatafutwa. Na hauji tu from nowhere.
Ata RC si wana maji ya Baraka,mbona amuhoji?Na hile Rozali si inauzwa,ni ya nini?Padri anasuluhisha mgogoro wa ndoa wakati yeye ni Bachelor!,mbona hamuhoji?Hata babu wa Loliondo naye alijaza maelfu ya watu kule Kijijini kwake! Lakini mwisho wa siku ukweli ulijulikana.
Kanisa Katoliki lina haki ya kuwaelimisha waumini wake juu ya hawa Matapeli wanaouza maji, sabuni, vitambaa, chumvi, nk kwa bei ya kulangua! Eti kwa kigezo yana upako! Huu ni wizi wa asubuhi.
Mtu anadanganya kuleta utajiri kwa miujiza! Hakuna utajiri wa aina hiyo. Utajiri unatafutwa. Na hauji tu from nowhere.
RC inazo sakramenti na visakramenti kwa ajili ya waumini wake ambao wamekiri imani ya Kanisa Katoliki. Ikitokea muumini amekiuka kiapo cha imani, basi huyo hutengwa kwa kutoshiriki sakramenti, na hapa ndipo watu mnaposhindwa kutofautisha. Kutengwa na Kanisa Katoliki katika kushiriki sakramenti haimaanishi kwamba amezuiwa kwenda huko kwingine. Mtu aliyetengwa si mshirika tena kiroho katika RC, lakini hajazuiwa kwenda kwenye makanisa mengine, huko aende tu. Sasa huo udikteta uko wapi wakati mtu ameachiwa huru aende?RC waache udikteta!
Mbona RC wanamuomba Marehemu Mariam awaombee kwa Mungu wana maana gani?Kwa kweli watanzania ni watu wasiojitambua, Mwamposa anawauzia maji na mafuta toka Israel wakati Waisrael wenyewe wana matatizo lukuki na hivyo vitu haviwasaidii hata kidogo, hivi mtu unashindwa nini kujiuliza au ni kule kuchotwa akili kama afanyavyo T.B. Joshua?