Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

Wamechelewa Sanaaa
Zama hizi sio zile,makanisa yenyewe yalikuwa machache, sshv makanisa kibao,watumishi wa Mungu kibao kwenye redio,TV huko mafundisho kila kona!
Imekula kwao
Imekula kwako wewe unayepeperushwa kwa mafundisho mchanganyiko.
 
Ndiyo walikuja kwangu kuomba nauli na Kula na kulala baada ya kushinda juani!

Jukwaa huru, where we dare to speak openly, hulazimishwi kukubaliana NAMI!
Hongera sana kwa moyo wako wakujitolea kuwasaidia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakwenda kutafuta walio na afya Bora isipokuwa kwa wanao hitaji uponyaji wa kweli. Unamzuiaje mgonjwa asiende kwa daktari? Sio vyema kuzuia wahitaji wanapo hitaji unafuu.
 
Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake

View attachment 2236071
View attachment 2236072
Ingawa nina mashaka na Mwamposa. Lakini Kanisa Katoliki ndo ile njia pana wapitayo wengi kuelekea hukooo....

Mafuta ya upako, maji ya upako, vitambaa na vikorokoro hivyo kuna tofauti gani na zile sanamu wanazozipigia magoti?

Boriti na kibanzi
 
Nyota na mwezi umezisahau mkuu.
 
KWANINI CHARISMATIC WALIJITENGA NA NYINYI MLIOPOA KIROHO. HEBU TULIA. WENZIO TUMESOMA SEMINARY, TUNAIJUA RC NDANI NJE. UNAELEWA KIKUNDI CHA CHARISMATIC NDANI YA RC???
Hee, yaani unasema unalielewa RC ndani nje wakati unasema Charismatic walijitenga? Ni kweli unaelewa hivyo au itoshe kusema hauelewi? Sasa sikia, Charismatic ni Chama Cha Kitume ndani ya Kanisa Katoliki kama vyama vingine vya Kitume, mfano Legio Maria, Moyo Mtakatifu wa Yesu, Kolping, UWAKA, WAWATA, VIWAWA, Utoto Mtakatifu nk. Sasa sijajua walijitengaje wakati condition mojawapo ya kuwa mwanachama wa Charismatic ni kuwa Mkatoliki! Nahisi unasimuliwa, na unajidanganya kwamba kusoma Seminari ndio kuujua Ukatoliki. Hata JK alisoma shule ya Mission
 
Umezaliwa lini wewe? Father Nkwera unamfahamu na kilichompata ndani ya RC?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Umezaliwa lini wewe? Father Nkwera unamfahamu na kilichompata ndani ya RC?
Tuanzie hapo kwanza.
Mbona unatapatapa? Father Nkwera ni Charismatic? Mambo ya kujidai mjuaji kumbe kichwani hamna kitu. Tafuta taarifa sahihi uje na uongo mwingine. Taarifa ninayokupa ni kwamba Charismatic Catholic ni chama cha kitume na kipo karibu katika kila Parokia ya Kanisa. Sasa ndio ujue unaungaunga kutokana na kusimuliwa na wachungaji wanyakyusa, eti Father Nkwera ni Charismatic, eti Charismatic wamejitenga! Hujui lolote na ndio maana nahisi ulifeli kidato cha nne
 
Father Nkwera unamfahamu na kilichompata ndani ya RC?
Tuanzie hapo kwanza.
Aisee, nakusubiri uje na utetezi wako kwamba Father Nkwera ni Charismatic na kwamba Charismatic walijitenga na Kanisa Katoliki. Naona bado unapiga simu kuulizia. Lazima kieleweke, tukomeshe wapotoshaji. Unakuta kajamaa kamesimuliwa huko, kanakimbilia kuja kupost, njoo ujibu huku, kata simu hiyo
 
Hata babu wa Loliondo naye alijaza maelfu ya watu kule Kijijini kwake! Lakini mwisho wa siku ukweli ulijulikana.

Kanisa Katoliki lina haki ya kuwaelimisha waumini wake juu ya hawa Matapeli wanaouza maji, sabuni, vitambaa, chumvi, nk kwa bei ya kulangua! Eti kwa kigezo yana upako! Huu ni wizi wa asubuhi.

Mtu anadanganya kuleta utajiri kwa miujiza! Hakuna utajiri wa aina hiyo. Utajiri unatafutwa. Na hauji tu from nowhere.
Ata RC si wana maji ya Baraka,mbona amuhoji?Na hile Rozali si inauzwa,ni ya nini?Padri anasuluhisha mgogoro wa ndoa wakati yeye ni Bachelor!,mbona hamuhoji?
RC waache udikteta!
 
RC wanapomuomba Marehemu Mariam awaombee kwa Mungu,wana maana gani?
RC waache udikteta!
 
RC waache udikteta!
RC inazo sakramenti na visakramenti kwa ajili ya waumini wake ambao wamekiri imani ya Kanisa Katoliki. Ikitokea muumini amekiuka kiapo cha imani, basi huyo hutengwa kwa kutoshiriki sakramenti, na hapa ndipo watu mnaposhindwa kutofautisha. Kutengwa na Kanisa Katoliki katika kushiriki sakramenti haimaanishi kwamba amezuiwa kwenda huko kwingine. Mtu aliyetengwa si mshirika tena kiroho katika RC, lakini hajazuiwa kwenda kwenye makanisa mengine, huko aende tu. Sasa huo udikteta uko wapi wakati mtu ameachiwa huru aende?
 
Kwa kweli watanzania ni watu wasiojitambua, Mwamposa anawauzia maji na mafuta toka Israel wakati Waisrael wenyewe wana matatizo lukuki na hivyo vitu haviwasaidii hata kidogo, hivi mtu unashindwa nini kujiuliza au ni kule kuchotwa akili kama afanyavyo T.B. Joshua?
Mbona RC wanamuomba Marehemu Mariam awaombee kwa Mungu wana maana gani?
Na ile Rozali inammaana gani?
Watu wanataka uponyaji,zama zimebadilika Mkuu,siwezi kukaa naumwa wakati kuna Mtumishi ana suluhisho la shida yangu!!,mbona kwa Waganga tunaenda na church tunaenda vilevile."Kunya anye Kuku,akinya Bata kaharisha'
 
Back
Top Bottom