Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Actually tulikuwa wengi snaaaRC wana wivu. Jamaa alijaza nyomi ya hatari.
Na anakuja tenaaaaa[emoji126][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually tulikuwa wengi snaaaRC wana wivu. Jamaa alijaza nyomi ya hatari.
Kwakweli, ibabidi tuwaulizeNa wanaokwenda kwa waganga inakuaje
Mkuu, imani ya kweli huwa haibadiliki. Yaani TV na kuongezeka kwa makanisa ndiko kubadilishe misingi ya imani? Nadhani unajichanganya mahali, siasa ndio huwa inabadilika kulingana na upepo, lakini kama kuua na kuzini ni dhambi tangu enzi za Musa, basi kutaendelea kuwa ni dhambi hata kama kutaongezeka makanisa na TVWamechelewa Sanaaa
Zama hizi sio zile,makanisa yenyewe yalikuwa machache, sshv makanisa kibao,watumishi wa Mungu kibao kwenye redio,TV huko mafundisho kila kona!
Imekula kwao
Lkn hakuna nguvu ya Mungu,hatuoni nguvu ikidhihirishwa ili kuwafungua watu km neno la Mungu linavyosema!Catholics are well organized and learned
Hard for idiots and mauzauza to understand
Mauzauza hoye
Frank anarudi!Kuna comments zinachekesha sana HUMU. Ila Mwamposa atabakia kuwa Man of The Match.
Gwajima ...chali
Mzee wa upako...chali
Suguye....chali
Geordavie...chali
Malisa...chali
Rwakatare...kaburini
Tusubiri baada ya Mwamposa na ni ataibuka.
Hivi Nabii Frank aliishia wapi????
Kwasbb mwaposa ile ni ministry sio church!Sasa wamerudi katoliki kufata nin
Safi sanaaa,bora walisepa !Kuna baadhi ya viongozi huwa wanajiona ni watakatifu sana, kuna msiba fulani mwamba alifariki kwa tungi yani alilala hakuamka tena na aligundulika baada ya siku tatu ameshaharibika.
Wakaleta hayo mambo alikuja kuzikwa na muinjilisti na ule ukoo wote ukaachana na ulutheri
Eeh hii sijawahi sikia mkuu!Hii inataka iwe battle kama ya Kanisa Katoliki Jimbo la Ifakara&Mahenge na Bibi Kalembwana aliyekuwa ananyoa watu kutoa uchawi, illikuwa Ukienda kunyolewa unatengwa na kanisa. Askofu Ndorobo ilibidi amfate Bibi Kalembwana
Acha ujinga anauza maji gani?Kwa kweli watanzania ni watu wasiojitambua, Mwamposa anawauzia maji na mafuta toka Israel wakati Waisrael wenyewe wana matatizo lukuki na hivyo vitu haviwasaidii hata kidogo, hivi mtu unashindwa nini kujiuliza au ni kule kuchotwa akili kama afanyavyo T.B. Joshua?
[emoji3][emoji3][emoji3]juu ya yote michango ya kikatoliki ni mingi aisee unaweza kimbia kanisa kweli
Sijajichanganya!Mkuu, imani ya kweli huwa haibadiliki. Yaani TV na kuongezeka kwa makanisa ndiko kubadilishe misingi ya imani? Nadhani unajichanganya mahali, siasa ndio huwa inabadilika kulingana na upepo, lakini kama kuua na kuzini ni dhambi tangu enzi za Musa, basi kutaendelea kuwa ni dhambi hata kama kutaongezeka makanisa na TV
Tatizo mmekurupuka, eti wanahama! RC hawahitaji watu wa namna hiyo ndio maana inawasidia kuhama. Kama ulikuwa unadhani muumini kuhama RC inaleta shida kwa Kanisa, basi umejidanganya. RC usiposimama katika mafundisho yake huwa hawasubiri uwatangazie umehama, wanakuhamisha mapema kwa kukufungia sakramenti ili ukashiriki huko unakojua. Atakayejisikia kutaka kurudi ni lazima akiri imani Kanisani, tena sio kwa Padri, ni katika misa mbele ya waumini wengine. Kwa hiyo hameni tu, tutawasaidia kuhama kwa kufunga sakramentiHivyo huwezi kumtisha mtu na makanisa yalivyo mengi hivi,mbona wengi tu watahama!