Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Amina. Tuko hivyo kabisaAsante mkuu,RC ndivyo tulivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina. Tuko hivyo kabisaAsante mkuu,RC ndivyo tulivyo.
Timu nzima ya mwamposa boy kutoka dar ilikua inalala bishophouse roman catholic kihesa iringa.Kanisa limejuaje?
Au na lenyewe lilihudhuria ili kuwaona hao washirika wake walioenda kwa mwamposa,hebu fafanua kidogo.
Unampaje onyo mtu uliyekwishamfukuza🤣Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
Kumbe we kiazi, kama unaamua kuachana na ukatoliki unauacha na kwenda unakojua, ila sio kufanya umalaya wa kidiniHuu nao ni utumbo, wanamtisha nani, kila mtu ana haki ya kuabudu anachokiamnini, au wanahisi wanasimamia watoto wa chekechea?
Mtu ana uhuru wa kuwa anapotaka na siyo kushikwa masikio kama mbuzi anapelekwa machinjioni
Kama wakienda huko wanapokea uponyaji, watakuwa wanakosea sana,
Kuna story moja ndani ya biblia ipo very interesting, inafanana sana na wanachofanya hao mapadre wakatoliki,
Yohana 9: 16...., nakazia mstari wa 22 na 25
Waache wafuate imani wanayoona inawasaidia maishani mwao!!
Unabishana na Waraka.Unampaje onyo mtu uliyekwishamfukuza🤣
😂
Onyo linawahusu waamini waliobaki ktk Imani yao .Unampaje onyo mtu uliyekwishamfukuza[emoji1787]
[emoji23]
Hamna lolote,sasa je, Kanisa Katoliki lilikufa?? Si bado limetamalaki.Unabishana na Waraka.
Tubu unasemehewa.
Usipotubu sakramenti hupewi na uondoke kwenda kwa Mwamposa.
RC kiboko yenu ni Martin Luther tu. Alipindua meza kibabe.
Nani Waumini au RC wanaolilia sadaka?Wakome
NakaziaHaisaidii, wakitaka kwenda kwa hiyari yao wataenda tu.
WatajijuuKanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
View attachment 2236071
View attachment 2236072
Halafu ni muongo,hawajafukuzwa ila wametoa onyo kwenye misa zao kanisaniVp na wewe umetimuliwa nini? maana unaandika huku unahemea juujuu
Ni kweliVijakazi wa mwamposa kazini. RC ya wapi hiyo!??
Ni kweli!Kama ni kweli wamekosea. Uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba.
Mathayo 23:13 mkuu nakaziaHuu nao ni utumbo, wanamtisha nani, kila mtu ana haki ya kuabudu anachokiamnini, au wanahisi wanasimamia watoto wa chekechea?
Mtu ana uhuru wa kuwa anapotaka na siyo kushikwa masikio kama mbuzi anapelekwa machinjioni
Kama wakienda huko wanapokea uponyaji, watakuwa wanakosea sana,
Kuna story moja ndani ya biblia ipo very interesting, inafanana sana na wanachofanya hao mapadre wakatoliki,
Yohana 9: 16...., nakazia mstari wa 22 na 25
Waache wafuate imani wanayoona inawasaidia maishani mwao!!
Wamechelewa SanaaaNa RC HUWA hawatanii utasikia na ukifa hatukuziki hata kama mkisafirisha hatuwapi barua ya utambulisho huko muendako.
Uhuru wa kuabudu uheshimiweWaoh hawajazuia ww kwenda, Ila wametoa masharti Yao, mbona jamaa wameweka na facts kabsa.
Jaribuni kuwa waelewa. Wala hamna wanaotishwa, ni hivi ukienda huko Sisi tunaamin umepotea hakuna utajiri bila kazi,