YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hao maparoko hawajui kituNimeshangaa juu ya tamko lao kuhusu uponyaji wa magojwa, nanukuu:
"Tunakemea na kubeza mafundisho potofu ya uwongo (bandia) kama vile ...kuwaponya wagonjwa, ..."
Yesu mwenyewe alisema:
Yohana 14:12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Maana ake kama vile Yesu alivyoponya magonjwa, na wafuasi wake wanaponya magonjwa, nk. Sijajua wanatumia maandiko gani kwa hili!!!
Yesu mwenyewe aliagiza
Mathayo 10:8
Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.Wanashangaa Mwamposya kuponya wajishangae wao kwa nini hawaponyi wagonjwa