Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

Mwamposa ni NIOKO na ana kanguvu kakubwa sana kaushawishi.
Bado tunamsubiri Suguye aanze ziara za uwizi baba yao Kakobe ameshazeeka sasa
Hawa wazee hawawapi watoto wao wa dotcom mbinu za ushindi dhidi ya ujinga wa waamini wao, hata wazee wanaona ni useless, sasa Mutta Rwakatare mchungaji mwandamizi analewa na kutokomea kwa siku 60!

Atampata nani wa bahasha za sadaka!?
 
KWANINI CHARISMATIC WALIJITENGA NA NYINYI MLIOPOA KIROHO.

HEBU TULIA. WENZIO TUMESOMA SEMINARY, TUNAIJUA RC NDANI NJE

UNAELEWA KIKUNDI CHA CHARISMATIC NDANI YA RC???
Acha ujinga wewe,eti umesoma seminary, Seminary mavi,ndio maneno yenu hayo kutuaminisha kuwa mnaifahamu vizuri RC kumbe mavi tu,kaa kwa kutulia.Hao Kalisimatiki walijitenga lini??,Weka ushahidi hapa.
 
Hee, yaani unasema unalielewa RC ndani nje wakati unasema Charismatic walijitenga? Ni kweli unaelewa hivyo au itoshe kusema hauelewi? Sasa sikia, Charismatic ni Chama Cha Kitume ndani ya Kanisa Katoliki kama vyama vingine vya Kitume, mfano Legio Maria, Moyo Mtakatifu wa Yesu, Kolping, UWAKA, WAWATA, VIWAWA, Utoto Mtakatifu nk. Sasa sijajua walijitengaje wakati condition mojawapo ya kuwa mwanachama wa Charismatic ni kuwa Mkatoliki! Nahisi unasimuliwa, na unajidanganya kwamba kusoma Seminari ndio kuujua Ukatoliki. Hata JK alisoma shule ya Mission
Mkuu,huyu ni mpotoshaji tu hajui lolote kuhusu RC.
 
Umezaliwa lini wewe? Father Nkwera unamfahamu na kilichompata ndani ya RC?
Tuanzie hapo kwanza.
Sasa Fr.Nkwera kilikuwa ni kikundi au mtu?, Halafu Fr.Nkwera hakujitenga bali Kanisa Katoliki ndilo lililomtenga kwa kutotambua mafundisho yake.Leta ushahidi wa Karismatiki kujitenga na RC.
 
Ata RC si wana maji ya Baraka,mbona amuhoji?Na hile Rozali si inauzwa,ni ya nini?Padri anasuluhisha mgogoro wa ndoa wakati yeye ni Bachelor!,mbona hamuhoji?
RC waache udikteta!
Wewe acha upoyoya,Sasa maji ya baraka utafananisha na maji ya upako?,Maji ya baraka hayauzwi lkn maji ya upako yanauzwa,Rozari zinahusiana nini na maji au mafuta ya upako??, Kuhusu Padre kushauri wanandoa ili hali yeye ni mseja hii sio ishu kwasababu yeye amesomea mambo hayo,hata hivyo zipo Kamati za kusuluhisha migogoro ya ndoa.
 
Mbona RC wanamuomba Marehemu Mariam awaombee kwa Mungu wana maana gani?
Na ile Rozali inammaana gani?
Watu wanataka uponyaji,zama zimebadilika Mkuu,siwezi kukaa naumwa wakati kuna Mtumishi ana suluhisho la shida yangu!!,mbona kwa Waganga tunaenda na church tunaenda vilevile."Kunya anye Kuku,akinya Bata kaharisha'
Wewe hazikutoshi,Kumuomba Mama Bikira Maria atuombee unafananishaje na hiyo ya kuombewa na Mhuni Mwamposa?, Halafu wewe jamaa hivi, Mama Bikira Maria unamchukuliaje lkn?, Mbona km unamchukulia kirahisi hivyo?. Kuhusu Rozari njoo RC tukupe shule acha kudanganywa na wahuni hao akina Mwamposa na wengineo.
 
Ni muhuni tu , mke wangu nilimwambia kuhusu huyo tapeli , had akanielewa,

Mwamposa et anaponya vilema Cha ajabu Ni wenye miguu miwili au wanaochechemea tu,

Ila jamaa Ni msanii sana, kwasasa ana ukwasi mkubwa sana
Utaisha tu huo ukwasi, pesa za kitapeli huwa hazichukui muda
 
Kwani RC hamna Mafuta?
Unafiki siyo mzuri?heshimuni Imani za madhehebu mengine,msijifanye nyie watakatifu wakati na nyie mna upungufu.Kama RC ipo sahihi sana pasingekuwepo na Anglican,KKKT, Moravian na sasa makanisa ya uamsho.Aya madhehebu yote yalijitenga na RC kwa sababu za kutofautiana kiimani.
Ndio maana tumewaambia hao kuwa wawe huru waende wakaabudu huko kwa Mwamposa.
 
Wala Kanisa halijatumia mabavu kama unavyodhani. Siku zote Kanisa Katoliki lina misingi na kanuni zake. Ukikiuka, lazima uwajibishwe ipasavyo. Haijalishi wewe ni muumini wa kawaida, mtawa, Padre, au Askofu!

Hivyo hakuna jipya hapo.
Kwann hawakutoa onyo kabla
 
Nakumbuka walishamwambia Lundenga mzee wa miss tz enzi zile kuwa akidedi hawatahangaika nae ingawa kidini walikosea maana Allah ameagiza yeyote atakayefariki aswaliwe
Hivi jamaa alipotelea wapi??
 
Mambo bado ni moto!!!,TEC wapigilia msumari.Wamakonde wanakwambia "Ukiinuka nchale ukilala nchale".
IMG-20220525-WA0008.jpg
 
Ata RC si wana maji ya Baraka,mbona amuhoji?Na hile Rozali si inauzwa,ni ya nini?Padri anasuluhisha mgogoro wa ndoa wakati yeye ni Bachelor!,mbona hamuhoji?
RC waache udikteta!
Swali zuri
 
Ata RC si wana maji ya Baraka,mbona amuhoji?Na hile Rozali si inauzwa,ni ya nini?Padri anasuluhisha mgogoro wa ndoa wakati yeye ni Bachelor!,mbona hamuhoji?
RC wanapomuomba Marehemu Mariam awaombee kwa Mungu,wana maana gani?
RC waache udikteta!
Wewe bhana mambo ya Katoliki achana nayo. Maana hakuna unachokijua. Na kwa bahati mbaya huwezi kuelewa hata aje Mkuu wa Makatekista wote duniani kuja kukufundisha.
 
Kanisa katoliki linachukia kupiteza sadaka .

Maana wanajua waumini wao wakienda kwa mwamposa wanatoa sadaka ambazo walipaswa wapokee wao katoliki

Hizi dini ni upigaji tu
Inawezekana Kanisa Katoliki linaona mbali! Hizo sadaka wakichukua wao zinajenga shule, zahanati, visima vya maji, kuboresha miundo mbinu....
Akichukua Mwamposa zinaenda wapi?,
 
Back
Top Bottom