Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Hawa wazee hawawapi watoto wao wa dotcom mbinu za ushindi dhidi ya ujinga wa waamini wao, hata wazee wanaona ni useless, sasa Mutta Rwakatare mchungaji mwandamizi analewa na kutokomea kwa siku 60!Mwamposa ni NIOKO na ana kanguvu kakubwa sana kaushawishi.
Bado tunamsubiri Suguye aanze ziara za uwizi baba yao Kakobe ameshazeeka sasa
Atampata nani wa bahasha za sadaka!?