TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

Kifo ni kifo na hivi ni vijidrama tu wala watu wasiumie.
Hakika nimifurahia hii drama na SIJAUMI WALA KUSIKITIKA,
 
Mdude Nyagali! Mdude Nnyagali, pamoja na yule Askofu anayetembea kila kona na Lissu, wachunguzwe, wametishia kutoa watu roho mara kadhaa
Kwann bujasema llte kuhusu yule uvccm wa kagera au m/kiti wa cm aliyedai hizi ni sanaa na wote watakufa!??
 

Wajukuu wamepoteza Babu sababu ya njaa zenu Kamanda.
 
Yy ndiye muasisi mkuu wa siasa za kuuana ,kulawiti na kuteka .alikuwa na genge la kuua wapinzani .kaondoka na roho nyingi za wasio na hatia .mwenyez mungu amchome mpaka akome
Na vp hawa wanaoendelea kuua mana JPM hayupo mwaka wa tatu sasa
 
Mambo ya kawaida sana haya kifo ni kifo tu kajidrama ka IRINGA haka. Ni muvi tu hii.
 
Poleni sana familia!
R.I.P
 
nachofahamu ni kwamba kila mwanadamu ana karama kama zawadi alopewa na Mungu.

Tutumie karama zetu kwa manufaa yetu na wengine kwa upendo gentleman, na Mungu atatubariki sana 🐒
Kweli wanaoteka na kuua watu kws kutumwa na dola basi watakufa lwa mateso makali sana upanga juu ya upanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…