Kuna ubaya na uzuri wao piaKumekuwa na Tabia mbaya sana kwa hawa watu kutunyanyasa pindi tunapokuwa safarin.
Sasa dawa yao ipo jikon.
Tutakomaa nao mpka kieleweke..
Kwa familia zilizokumbwa na Mkasa huu Tafadhal naomba Mnisamehe sana. Mungu Ibarik Tanzania Mungu Ibariki Africa.
View attachment 2086849View attachment 2086850View attachment 2086851
Iwe iwavyo watu wema bado wapo tu. Utajuaje aliyemchoma ni mhanga mmojawapo.Ukiona mbongo amakomalia rushwa ujue yeye kakosa tu tu..
Acheni roho mbaya hawa jamaa wakiamua waandike fine gari zitapungua barabarani...
Aliyemchoma mwamba kazingua sana
Sawa KabisaYaani afande kama huyu kwa mwezi hakosi kumeki pesa si chini milioni 3 kwa mwezi kimakisio,ila mwisho wa yote hayo pesa wazichukuazo hazina baraka katika matumizi yao
sema tu kupelekwa mahakamani ni kupoteza mda but adhabu za mahakamani unashangaa unalipa hela ndogo sana kuliko faini yenyewe.Wataanza kuwakazia
Mwendo fine au kukupeleka mahakamani 😂
Ova
Maelezo tumempatia IGP Tanzania. Hivyo Angalia ITV habari ya saa mbili usiku.hiz pcha zmesambaa sana mitandaoni leo lakini hazina maelezo
Unaongea kama mtoto mdogo alievaa pampasi ambae hajui anaongea kitu gani!Katika tuko hili , ninajiuliza TAKUKURU wanafanya kazi gani nchi hii?
Apandishwe cheo kwa kuishi kauli ya mh rais kwa vitendoPicha na kichwa cha habari vinaeleweka na vinaendana na kauli ya SSH.
View attachment 2088418
View attachment 2088419
View attachment 2088420
View attachment 2088421