Iringa: Mkuu wa Mkoa azungumzia Wanaume Wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha ili kukata pombe

Siwezi kuacha kunyonya matiti ya baby girl labda mniue tuu ndio mtakua mmeniweza
 
Acha bas...kwahyo ananyonya kabisa maziwa anakunywa?
Hiyo haiathiri mtoto kivyovyote?
Yale mate pale kweny tits?
Ndo nashangaa, wananyonyaje maziwa ya mama anayenyonyesha? Na huyo mama inakuwaje anakubali?
Mbona unyumba tunafanikiwa kuwanyima, tunashindwaje kuwanyima nyonyo la mtoto?
Hapo kosa ni la mwanamke.
 
Kwanza mjue hatuwanyonyi maziwa, tunayachezea na ulimi, tunayatomasa tu kwenye mchakato mzima wa tendo. Anayesema tunanyonya sio kweli.

Halafu, ukiyatomasa unaona chuchu ikivimba, vile vidoti vinakuwa vikuwa, ukipima oil kwa kle kipimo chetu hakika inakuwa ishapanda na gari lipo tayari kwa safari.

Happy sabbath!
 
Kwa kweli wanaume mnaonyonya manyonyo wakati wa show (sio ya mke anayenyonyesha lakini) tunaomba serikali iwaondolee tozo zote kwenye bajet ijayo na Mungu awalinde....muendelee kutupa Raha🤣
 
Lete ninyonye nione Kama ni kweli
 
😁😁😁😁Ebu fafanua hilo vibe
 
Vitoto navyo! Baba alimwambia mwanae ,mwanangu umenenepa, ulinyonya vizuri maziwa ya mama. Baba! Nilinyonya kama yule baba anavyonyonya maziwa ya mama, baba yupi? Mama kadakia, wewe mtoto kwenda wazimu!! Sijui kama baba alifanya upelelezi gani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…