TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Mbona hii picha ya ITV imenistua?Ukiangalia kwa makini kabisa,mmoja wa Askari wale wanaoshuka kwenye gari,ANAONEKANA ANAMLENGA MTU MAHUSUSI KWENYE LILE KUNDI MBELE YAKE?Please huyu bwana Mwandishi alikuwa anatafutwa na hawa Poli-CCM toka mgomo wa Madaktari,waalimu kwa kukaidi kutorusha taarifa zinazowachukiza CCM?
 
hata mi nimepigwa na butwaa, ITV vip mmepigwa mkwara.?

wameionyeba bana,ila kuna huyu repota wa tbccm-iringa anasema amepigwa na bomu la machuzi hivi kweli bomu la machozi linaua?

source:tbccm habari saa 2 jion leo
 
Kyala akubhike pa bhumi mwalafyale imbombo jako jimalike mu mfibhoko fya bhandu gwende mwaisa
 
wewe maskini wa mawazo!kuchoma file za cdm ndo kufuata sheria?kumuua mwandsh wa habari pia ni sheria?naifahamu katiba nieleze hvo vifungu.je kuendelea kwa mikutano ya ccm ndo sheria?acha upumbavu wewe!

Sijui elimu yako, ila ukianza na wrong premise(kuvunja sheria) utamaliza na wrong conclusion. Huo mkusanyiko usingekuwepo nani angekwenda kumuuwa Mwangosi nyumbani kwake? Au leo tu ndio hiyo ofisi imenunua mafaili hadi polisi wayachome? Hatuwezi kuwa na nchi isiyofuata sheria, mkitaka nendeni Somalia hakuna serikali.
 
wewe maskini wa mawazo!kuchoma file za cdm ndo kufuata sheria?kumuua mwandsh wa habari pia ni sheria?naifahamu katiba nieleze hvo vifungu.je kuendelea kwa mikutano ya ccm ndo sheria?acha upumbavu wewe!

Mkuu nenda nae taratibu huyo wala usimshambulie,m.j.i.n.g.a hasiye elimika uwa dawa yake ni kumuelimisha kwanza mpaka anakaa sawa!kwanza hayo hayakua maandamano wala mkutano wa hadhara,pili kuandamana na mikutano ya adhara ni haki ya msingi kikatiba bila kubughudhiwa na polisi,kwa hiyo ni wazi huyo mtu aliyetoa lawama za maandamano anahitaji ukombozi wa kifikra kwanza
 
hata channel Tena hawajaonyesha hii habari?
Utashangaa Magazeti ya kesho, Jamboleo, Uhuru and the like...Chadema yaua mwandishi iringa!!! Kweli Ufisadi ni killer number moja, hata zaidi ya Ukimwi
 
Ndago mliua mkasema mwigulu,morogoro mkasema polisi,leo tena mmeua iringa,mnataka kutumaliza?
 
Kabla ya yote R.I.P. Daud Mwangosi.

Hapo kwenye RED & BLUE: NO COMMENTS
 
Polisi polisi polisi, dah Mungu awalipe hapa hapa duniani, what goes around comes around....na mishahara yenu itaendelea kuwa hivyo hivyo, rushwa ndio mkombozi wenu...to hell jeshi la polisi, i really hate you....
 
unajua mkuu hawa jamaa CDM imewaingia kiasi kwamba hawaoni tena maovu yake. Akili zao ni kama kina Slaa,wako tayari hii nchi iingie kwenye vita ilimradi wao waingie ikulu. Wamekua ni kero sasa.
 

Kweli wewe ni makalio kabisa.
 
Mambo mawili yanatakiwa kufanyika ili kumaliza hili tatizo.
1.Askari wote walio husika washitakiwe,RPC asimamishwe kazi,IGP asimamishwe kazi.
2.Chadema ifutwe.

Kumbe ndiyo mpango wenu huo wa agenda namba 2?!? have to tell you, go back to whoever sent you and report hiyo HAIWEZEKANI.. and what you resist(CHADEMA) persist!.
 

Jaribu kufuatilia tamko la CDM kabla ya tukio hilo, kisha uje na facts zako zikiwa zimenyooka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…