Linyakalumbi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 263
- 107
Mbona hii picha ya ITV imenistua?Ukiangalia kwa makini kabisa,mmoja wa Askari wale wanaoshuka kwenye gari,ANAONEKANA ANAMLENGA MTU MAHUSUSI KWENYE LILE KUNDI MBELE YAKE?Please huyu bwana Mwandishi alikuwa anatafutwa na hawa Poli-CCM toka mgomo wa Madaktari,waalimu kwa kukaidi kutorusha taarifa zinazowachukiza CCM?