alipigwa bomu gani? La machozi au RPG?Mlimani TV breaking news wametangaza kwa ufasaha sana ameohojiwa mwandishi wa mwananchi sanga ameleza full kilichotokea, amesema polisi walimkamata wakampiga sana na na ilipokosa nguvu polisi mmoja alimlenga kwa na kumshuti kwa bomu ambalo lilimsambaratisha utumbo kule kichwa kule na kadhalika na hata walipokuwa wanachukua mwili wake walichukuwa dk 15 kukusanya mwili wake.
Mlimani TV breaking news wametangaza kwa ufasaha sana ameohojiwa mwandishi wa mwananchi sanga ameleza full kilichotokea, amesema polisi walimkamata wakampiga sana na na ilipokosa nguvu polisi mmoja alimlenga kwa na kumshuti kwa bomu ambalo lilimsambaratisha utumbo kule kichwa kule na kadhalika na hata walipokuwa wanachukua mwili wake walichukuwa dk 15 kukusanya mwili wake.
Chadema walianza na mauaji iramba wakaendelea morogoro,na sasa wameua iringa wataendelea mikoa mingine kadri watakavohitaji kumwaga damu
Very poor reasoning.
we mjinga,walioua ni chadema acha kupotosha,mwanga nini?
Rest in Peace Daudi Mwangosi.
Hawa polisi wetu hatuwaelewi kwani bomu la machozi linaweza kumuua mtu au wametumia silaha za moto? Tunaomba tupewe taarifa kamili inaonekana polisi wamezoea kuua na kila mara inapotokea hakuna taarifa yoyote ya maana au kufukuzwa kazi kwa polisi aliyehusika. IGP mwema kuwa makini na vijana wako wabakuharibia.
But all in all hawa chadema hawasikii na wamezoea kutoa watu kafara manake ni juzi tu amekufa mtu moro na leo iringa. Kwani hawa cdm wangesimama mpaka sensa ikaisha wangekupukiwa nini? Cdm wauaji wakubwa lawana sio kwa polisi tu hata kwao wenyewe.
Huyu slaa na mwenzie mbowe ndio viongozi wakuu wa cdm na wameshindwa kabisa kuendesha chama kishawapwaya. Kama wao ndio wangeongoza nchi lets say wao ndio watawala jambo ambalo haliwezi kutokea hata wakiua watanzania wote wangekubali kuona watu hawawatii kama wao wanavyodharau serikali iliyoko madarakani?
Cdm kilikuwa ni chama changu nakipenda lakini siku zunavyoenda nimekichoka na kadi yangu ya uanachama nimeichana, wasipoangalia kama wataendelea kufikiri kwa kutumia masaburi basi hata uchaguzi ujao wataambulia majimbo machache sana.
M4C imeanzishwa kwaajili ya kazi moja tu,kuipeleka hii nchi kwenye vita.Chadema siwaamini kabisa, wanaweza kuuwa wao wawasingizie askari.
Tumeona Morogoro na sasa Iringa.
Hiki si chama cha siasa na ni chama cha fujo hakifai kabisa kuwepo. Ni wakati muafaka kifutwe kabisa.
Media imezimwa. ITV HAIKUDOKEZA KWENYE TAARIFA YA HABARI.
Iweje ajeruhiwe Polisi na afe Mwandishi kwa risasi? Hao ni chadema tu hakuna mwingine.
Nasema chadema si chama cha siasa na hata bendera yao inaashiria umwagaji damu.
we mjinga,walioua ni chadema acha kupotosha,mwanga nini?
Nilizoea kuona na kusikia kunako tv waandishi kuuliwa kule mashariki ya kati na mbali sasa imehamia kwetu tanzania, nadhani neno lililotamkwa bungeni DHAIFU limethibika bila mashaka yoyote. Yeyote aliedhaifu hukosa mbinu mbadala kupambana na kutatua matatizo bali akili yake huishia kuuwa, kutesa, kutisha na kamatakamata.
Mfano
-Idd amin
-Gadhaf
-Gbagbo
-Asad
Na wengineo wengi
Mwisho wao huwa mbaya naamini mwisho wa kikwete, mwema na sasa nchimbi hautakuwa mzuri, heri kwake nahoza kuepushwa kikombe hicho maana anaamani moyoni mwake bali Emmanuel Nchimbi lazima anajuta kupewa wizara hiyo.