TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

kuna thread inaonesha polisi akimuwekea mtutu tumboni na RPC alikuwepo so sijui ilikuwaje
 
Kuna thead imeanzishwa inaonyesha wakati marehemu anauwawa kinyama na polisi at a close range.Hakuna uhalali wa kutawaliwa na ccm tena!
 
Wapuuzi sana Polisi wetu

Na sisi Raia wapuuzi sana!

Kwa nini tusiamue kama soooo na iwe soooo? Hivi kwa nini mpaka sasa hivi raia tuko kimya? Kwa nini tusichukue hatua dhidi ya hawa dhalimu?

Hii ilikuwa inatosha kabisa kutumwaga mtaani na kuwaondoa hawa jamaa waliolewa madaraka hawa na polisi yao. Uuuwiiiiiiiiii MUNGU wangu tuokoe na hili janga la CCM!
 
Hapo Tanzania au Syria, this is not acceptable!!!
 
lakini wewe kwa kiwango kikubwa you are not normal person ni kama shetani fulani wewe ila wambie watawala tutawakuta siku 1 huko wanakotumia ujumbe wa kutuua
 
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.
Chama cha mabwepande tumesha kishitukia kuwa kina mpango wa kutumia nguvu za kijeshi kuidhoofisha chadema ,hii inatokana na mafisadi kuiogopa CDM,sasa wewe 'POYOYO' unajifanya HILI hulijui kamuulize babu yako6 HAMNA JEURI YA KUIFUTA CDM.mwisho wenu mabwepande umefika.
 
sijawahi ku replay comment zako lakini nadhani kama kweli unayoandika yanatoka rohoni basi unamatatizo makubwa ya akili ,hivi kwa mtu mwenye akili timamu unaweza shabikia tukio kama hili? bahati yako jina unalotumia ni undercarpet!

Hata mimi huwa sijibu lakini haya ya akina zomba,majebere na y t2015ccm imenilazimu nijibu. Ninasisitiza ukweli wote mungu anaujua mwisho kwa mtenda maovu huwa ni mbaya. Siku moja mungu ataweka wazi kila kitu ndugu zangu watu watatamani kujificha.
 
Mods watu wanachangia hayo hapo juu halafu mnafuta thread zetu?kwanini msifungie hawa wanyama kwa muda?hapa hakuna siasa kwenye mauwaji,its about human rights,mnafuta mabandiko yenye kuhoji udhalimu mnaacha haya yenye kutia hasira na yasiyoonyesha chembe ya utu na ubinadamu?
 
Unahoji upumbavu unataka watu wakuchekeee
 
sijawahi ku replay comment zako lakini nadhani kama kweli unayoandika yanatoka rohoni basi unamatatizo makubwa ya akili ,hivi kwa mtu mwenye akili timamu unaweza shabikia tukio kama hili? bahati yako jina unalotumia ni undercarpet!
wanao shabikia ni CDM,unafikiri wanachi wakizidi kufa ndio mtapata nguvu zaidi?Slaa alishindwa nini kusuburi siku chache aendelee na mikutano yake? Yeye ana beep,akipigiwa anampa mwingine apokee.
 
That's bad man, we will reach the top but we will be in pierces with bloodshed if we won't be wise in our every move, we can wait a little longer and take all of them to hogue dude.
 
sijawahi ku replay comment zako lakini nadhani kama kweli unayoandika yanatoka rohoni basi unamatatizo makubwa ya akili ,hivi kwa mtu mwenye akili timamu unaweza shabikia tukio kama hili? bahati yako jina unalotumia ni undercarpet!
ndo maana naamini hawa wachache kina Zomba,ndo watopu wenyewe wauwaji walioko madarakani,hakuna mwananchi wa kawaida atakayeweza kuzungumza wanayoyazungumza hata kama wako ccm.
 
Hili jeshi lina watu wachovu kiasi hiki? Wachovu kwa kusimama, wachovu kwa kufikiria na wachovu kwa kutimiza wajibu wao! Duuh! Mtauaje mtu kwasababu ni mhalifu bila kuwa na silaha? Si apelekwe kwenye vyombo vya sheria? Mpaka inaudhi...hii tabia ya kuuana uana imetoka wapi?
 
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.
kaka nadhan unaandika haya huku roho inakuuma sana kwa ajili ya watu wanaouliwa na polisi hasa ukizingatia ukweli unaujua. Hapa dunian tu kaka kuna siku tutakuwa hatukuoni humu jf na zaidi mungu anakusubiri kwa haya unayoshabikia kinafki.
 
Inabidi lifanyike jambo,najisikia huzuni sana,hasira sana, sidhani kama usingizi utakuja usiku wa leo.
 
lakini wewe kwa kiwango kikubwa you are not normal person ni kama shetani fulani wewe ila wambie watawala tutawakuta siku 1 huko wanakotumia ujumbe wa kutuua
Huyo siyo kwamba ni kama shetani",huyo ni shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…