KISHOKA_ZUMBU
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 163
- 78
Wewe unachokitetea ni nini? huoni kwa macho yako? husikii kwa masikio yako?
Unaambiwa kila wanapokwenda chadema kunatokea vifo! sababu?
Katika nchi yoyote, kukaidi amri za dola kuna gharama zake, haya ni mageni kwetu na yanasikitisha. Nashindwa kuelewa cc wananchi kushawishika kukaidi amri za watawala, madhara ni haya yanayojitokeza. Nawaasa watanzania wenzangu, tushiriki siasa lakini uhai wetu ni muhimu zaidi ya siasa. Ni hayo 2 kwa leo.
Kwa akili yako wewe unafikiri palikuwa na umuhimu wa polisi kutawanya/kujeruhi/kuua kama walivyofanya!!?Palikuwa na sababu za msingi kweli polisi kuua kisa kutawanya watu!!?Watu wana huzuni wewe unaandika vitu vya ajabu Kama hivi!?
Hapo ndio mimi huwa sipapendi, sasa Eli ukilia tutafika?Nimelia sana
Katika nchi yoyote, kukaidi amri za dola kuna gharama zake, haya ni mageni kwetu na yanasikitisha. Nashindwa kuelewa cc wananchi kushawishika kukaidi amri za watawala, madhara ni haya yanayojitokeza. Nawaasa watanzania wenzangu, tushiriki siasa lakini uhai wetu ni muhimu zaidi ya siasa. Ni hayo 2 kwa leo.
Wewe unakijuwa unachoongea? kila wanapokusanyika chadema. kifo au vifo vinatokea. Sasa hicho ni chama?
ila wewe ndio unajuwa unachoongea??nani anauwa hao raia??Chadema au Serikali ya dhaifu, weka pembeni siasa zako chafu na zisizokuwa na msingi, CCM huwa mnazuiliwa kufanya maandamano hata siku moja??Why chadema...Na Chadema huwa wanakusanyika bila ruhusu, acha ushabiki wa kijinga na kinafki...ila kwako unaona chama ni CCM???
Kinachonisikitisha zaidi ni iwapo arusha m2 alipoteza maisha baada ya wa2 kutaka kuvamia polic.
Moro pia m2 alipoteza maisha katika mazingira hayahaya ya malumbano na polisi.
Na sasa Iringa maisha ya mtanzania yamepotea ktk mazingira yaleyale ya malumbano ya kisheria na polisi.
Swali ni je kufanya mkutano ni muhimu sana hata kugharimu maisha?
Huo ni muono wangu kwa upeo wangu.