KISHOKA_ZUMBU
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 163
- 78
Katika nchi yoyote, kukaidi amri za dola kuna gharama zake, haya ni mageni kwetu na yanasikitisha. Nashindwa kuelewa cc wananchi kushawishika kukaidi amri za watawala, madhara ni haya yanayojitokeza. Nawaasa watanzania wenzangu, tushiriki siasa lakini uhai wetu ni muhimu zaidi ya siasa. Ni hayo 2 kwa leo.


