Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namjua kwa jina anaitwa Ndugu DAUDI MWANGOSI, hali yake ikoje na nini kimetokea?
Na yeye alikua anafanya nn huko?
Kuna haja ya watanzania wote kuandamana ili tuuawe. Tanzania inatishwa na wahujumu uhuru.
Mkuu hata sisi tupo wana ccm lakini kitendo hiki cha kinyama ni cha kulaaniwa na mtu yoyote mwenye akili timamu achana na ushabiki wa kijingaMungu hana time ya kumtetea wala kumlipa mpumbavu.Yani mimtu inaambiwa isubili mpaka tar 8 yenyewe inatumia nguvu,sasa leo haina dola inaleta vita sasa ikipata dola sii nchi haitakalika?
Bado nasisitiza tuwe na jukwaa la matusi kwajili ya kupunguza.stress haiwezekani tuendelee na ujinga huu wa polisi shenzi zao narudia tena.kwa.kumaanisha
Risasi haiwezi kusambaratisha mwili kwa kiasi kile,kuna mpuuzi hapa JF last week aliomba msaada wa kutengeneza bomu la petrol anaweza kuisaidia police.Lengo la kumuua mwandishi ni kupandikiza chuki.