Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

Sio kibongo bongo, technolojia ni finyu saana. Hapo wangekua smart wasingekamatwa hata mmoja, traces zote za ushahidi wanafuta, mkwanja wanaingiza kwenye bitcoin wallet, apo inakua imeishaa hakuna mbwa atakaeweza kujua.
Bit coin wapi hata wangekeeaka kwny mapipa tu home mambo ya kwenda bank ni uzwazwa
 
Sio kibongo bongo, technolojia ni finyu saana. Hapo wangekua smart wasingekamatwa hata mmoja, traces zote za ushahidi wanafuta, mkwanja wanaingiza kwenye bitcoin wallet, apo inakua imeishaa hakuna mbwa atakaeweza kujua.
Hivi bitcoin unazitoaje,, nina bitcoin alibaba za sh bilion 5,kuzitoa sasa ndo shida,, [emoji848][emoji848]
 
Unaona matukio makubwa ya kukamatwa wahalifu yameanza kuripotiwa Kama kutoka kule Chunya Ile dhahabu na Hawa wa Iringa.

Haya ndio matunda ya Ile biti kwamba polisi wajitafakari. Hawa jamaa wasipopigwa biti hizo pesa wangekula zote na wangeficha huo wizi.

Hapa ni kwamba deal gone bad ndio kilichotokea maana polisi waliacha kazi zao wakaingia kuwa majangili na ndio maana kuanzia November mwaka jana mauaji na matukio ya jinai ni mengi mno kumbe polisi walikuwa busy na ishu za upigaji.

Why sasa hivi ndio Kuna utekelezaji mkubwa??? Why?
 
Wenzetu mnaishi dunia ya peke yenu kabisa. Achana na harrier , zipo Crown hadi za mil 150.
Thamani ya gari huenda sambamba na mwaka uliotengenezwa.
Harrier ya 2004 unataka iuzwe sawa na ya 2020??
Au upo mkoa ambapo zipo harrier za 2002 tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kuuliza si ujinga Mzee.
 
Sasa ishu za Elimu zinahusiana Nini hapa??.
 
1. Weka pesa yote kwenye crypto
2. Usitumie zaidi ya ulichokuwa nacho, huwezi ku-spend zaidi ya 300m kwenye magari huku vyanzo vyako vya mapato vikiwa havieleweki tena kwa majina yako
3. Kimbia wakiwa wanajipanga
 
Omba Mungu usipate easy money nyingi kwa mpigo-ZITAKUUA!
 
Swali ni je zitarudishwa selcom? Au ndio vile mpaka kesi iishe na mune kwishine😁
Jamaa wame pull bonge la Heist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…