lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Bit coin wapi hata wangekeeaka kwny mapipa tu home mambo ya kwenda bank ni uzwazwaSio kibongo bongo, technolojia ni finyu saana. Hapo wangekua smart wasingekamatwa hata mmoja, traces zote za ushahidi wanafuta, mkwanja wanaingiza kwenye bitcoin wallet, apo inakua imeishaa hakuna mbwa atakaeweza kujua.