'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

Tumia akili wewe mpuuzi Israel ilikuwepo kabla hata ya hiyo Uingereza halaf Mimi sijazungumzia Uingereza nimezungumzia gazeti la the Guardian, Uingereza inahusikaje hapa😂, hata Al Jazeera wanasupport magaidi na bado Kuna waandishi wao ni Wamarekani tumia akili, halafu kuhusu 6 days war soma nilichoandika vizuri acha kukurupuka kama jinga nimekuambia tafuta magazeti ya kipindi hicho yalisemaje kabla ya vita kuhusu Israel, hujui kusoma au ndiyo akili imeishia hapo
Halafu naona upo mweupe sana na mvivu wa kufikiri ,hata hilo neno gaidi hujui maana yake
Hujui kwamba waisrael wanamiliki vyombo vingi vya habari na aljazeera ndio moja ya vyombo vikubwa na huru duniani ,kisa israel kasema na wewe unaropoka tu, ndio maana kiboko ya wachawi alipata wakristo wengi kwa uvivu huu wa kufikiri
unajua cnn kwba imepata kashfa ya kuandika habari za uongo na waandishi wake wamefunguka kwamba walikuwa wanapamgiwa cha kuandika na kureport kuhusu israel
Tumia akili kufikiria siyo unapelekwa pelekwa tu
 
Israel wapo based na raia
Zana za kijeshi za Hezbollah zipo katika majengo yaliyoko uraiani. Hao Hao Hezbollah wanapigana kwa kujificha na raia haswa wanawake na watoto Ili kuwaghilibu Israel. Kwa Hali hiyo hakuna namna, Magaidi yatafyekwa pamoja na wanawake wao.
 
Hawawezi kujibu hao vilaza wanashabikia ujinga tu😂
🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

1728289916520.png
 
Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa Israeli kaskazini.

Hezbollah ilifanya mashambulizi 18 dhidi ya wanajeshi wa Israel na vituo viwili vya IDF huko Haifa na mapema Jumapili asubuhi kundi linaloungwa mkono na Iran lilifyatua risasi ya kombora katika kituo cha Nimra huko Tiberias. Tazama kwa maelezo zaidi.

View: https://youtu.be/QOkagxrmoBc?si=48vdeCPqGpUkchaV

Bado hawajasema!
 
Halafu naona upo mweupe sana na mvivu wa kufikiri ,hata hilo neno gaidi hujui maana yake
Hujui kwamba waisrael wanamiliki vyombo vingi vya habari na aljazeera ndio moja ya vyombo vikubwa na huru duniani ,kisa israel kasema na wewe unaropoka tu, ndio maana kiboko ya wachawi alipata wakristo wengi kwa uvivu huu wa kufikiri
unajua cnn kwba imepata kashfa ya kuandika habari za uongo na waandishi wake wamefunguka kwamba walikuwa wanapamgiwa cha kuandika na kureport kuhusu israel
Tumia akili kufikiria siyo unapelekwa pelekwa tu
Ona kilaza huyu Al Jazeera ni chombo huru😁😁 Al Jazeera ni chombo Cha kigaidi na ndiyo maana imezuiwa Saudi Arabia, Misri, UAE, Morocco, China, Iraq na nchi nyingine kibao.. hata Waarabu wenzao hawawataki halafu unaita chombo huru? hivi kati ya Wakristo na wafuga majini nani Wana akili ndogo katafute dini iliyo na illiterates wengi ni ipi
 
Back
Top Bottom